Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!

Unaonaje mkuu yasipozungumziwa haya, itakuwaje.?
 
Yaliyotokea Njombe huko ni upungufu wa Madactari au huduma zitolewazo na hao ni changamoto..?

Yaani mama tayari anajifungua, kitendo cha kumsaidia tu ili atoke salama, doctor anataka 40k na wakati huo dakika zinahesabika Kwa mzazi ili aondoke duniani yeye pamoja na mtoto wake

Halafu tunasema wahuhumu sjiui vipi!

Tunapoukataa Umagufuli, tunakataa kuchapa kazi na kukaribisha uzembe kazini!
 
Mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya --- The late JPM
Kilichokuwa kinatakiwa ni kinga ya maradhi sio kujenga magodown ya hospitali.
Zipo nchi nyingi gonjwa ni cancer au blood pressure. wamefunga hospitali na kuzigeuza gym au vaccination centers.
Sisi tunakiwa kudhibiti uchafu wa mazingira,utapiamlo,dini za kiini macho,elimu ya uzazazi wa mpango,mazoezi ya viungo n.k
Ukisikia wizara inaongeza hospitali ujue taifa lipo ICU
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…