Tatizo la voda 1gb inapeperuka Kama upepoNimevunja line yao..Vodacom ndo kila kitu,tukubali tukatae
Hatuna jinsi mkuu..maana hii mitandao ya hovyo unaweza hata kupasua simuTatizo la voda 1gb inapeperuka Kama upepo
Kuna kitu hujakitajaTangu lini shirika la umma au taasisi za umma zikatoa huduma bora?
TBC
TANESCO
NIDA
SHULE ZA SERIKALI
HOSPITALI ZA SERIKALI
NK
we bado unashangaa tu?
😂😂😂😂 kipi hichoKuna kitu hujakitaja
Walio ajiriwa huko hawakufanya interview au kama walifanya walikosea kuchukua. Badala ya kuchagua top layer walichaguliwa bottom layer.😂😂😂😂 kipi hicho
Mwenye nchi yake mwenyewe anatumia voda na airtel. Kwa ninj sie tuhangaike na mtandao wa serikali?Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
We ndo hujuhi hudama zitolewazo na serikali zilivyo nzuri.Tangu lini shirika la umma au taasisi za umma zikatoa huduma bora?
TBC
TANESCO
NIDA
SHULE ZA SERIKALI
HOSPITALI ZA SERIKALI
NK
we bado unashangaa tu?
Hata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
Wengi wamevaa miwani nzito na kina mama wamevaa mitandio au ma baibuiHata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!
Nimevunja line yao..Vodacom ndo kila kitu,tukubali tukatae
Ni wa hovyo+. Unamaliza bandle wala hakuna kujulishwa kwa sms kama mitandao mingine. Utashangaa unapiga cm haziendi au unatumia intrnet hai-respond.Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
HahahaaaaHata vijijini haipatikani kwa kiwango cha namna wanavyojigamba!!!! Halaf huduma kwa wateja mikoani bado sana. Mikoani ukijaribu kuutembelea ofisi za voda, tigo, airtel, hallotel halafu unafanishe na TTCL kuna tofauti kubwa sana kwenye huduma za wateja. TTCL bado wana wazee ambao ni wazito kuhudumia wateja. Utawakuta wamekaa kwenye ma computer yao yale makubwa ya kipindi cha nyuma sana!!!