MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 384
- 418
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:
1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.
Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.
2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,
3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi
4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.
Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu
5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,
6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka
7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.
Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.
Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo
Nawasilisha.