KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hivi sisi huwa tunaweza nini?

Tizama wakandarasi wa Ndani quality ya Barabara na Majengo wanayojenga, linganisha na Barabara na Majengo yaliyojengwa na wakandarasi kutoka nje.

Vyetu huwa ni hovyo hovyo utadhani huwa hatuna maarifa.

Tatizo ni sisi, kwa sababu hata Watanzania wengi waliosoma nje bado uongozi shida, utendaji shida, waliopata exposure na ambao hawana unakuta wanafanana.

Hao wachache waoweza, utakuta wanapigwa vita mpaka ama waache kazi au wafukuzwe.

Utanzania au Uafrika ni Tatizo, sasa tunatokaje tulipo.

Hatuuwezi kitu. Ujinga, ufisadi, rushwa, uzembe bado umetamalaki TZ. Ingekua inawezekana kila kitu wapewe mizungu nchi itaendelea faster, sisi wamatumbi ukitupa kitu it's just a matter of time kukiua.
 
Hahaha inabidi tuwaombe WAZUNGU waje WATUTAWALE tena.

Huwa naona hata Project wakianzisha wazungu nchini zina fanya vizuri zikiwa chini ya uangalizi wao. Wakiondoka tu, na mradi unaupa muda mfupi tu nao unakufa.

Watanzania tunasema tuna succession Plan nzuri, tunapika viongozi wazuri, huwa wanaharibika stage gani?

South Afrika, Makapuni yanayofanya vizuri yanaongozwa na Wazungu, licha ya kwamba hao Wazungu wamezaliwa humo humo South Africa. Lakini Akipewa Mwafrika mweusi, ni swala la muda tu chali.

Tunashindwa nini,wapi,Kwanini?
 
Ni kama mabasi ya DART tu, ukipanda unaona kiti kimepasuka, camera zinaning'inia, gari hazioshwi ndani wala nje. Hivyo ndivyo serikali ilivyo. Unajiuliza hivi hakuna spare za kubadili? Ndivyo ilivyo kwenye treni hizo, wanachotaka ni pesa tu. Hizo behewa zilizochakaa hawazikarabati na itafika muda hata AC watazizima ya kuleta behewa zenye vioo kama za bus.

Miradi ya serikali ni upuuzi mtupu. Ni kichaka cha watu cha kuwaibia wananchi pesa zao.
 
Hahaha inabidi tuwaombe WAZUNGU waje WATUTAWALE tena.

Huwa naona hata Project wakianzisha wazungu nchini zina fanya vizuri zikiwa chini ya uangalizi wao. Wakiondoka tu, na mradi unaupa muda mfupi tu nao unakufa.

Watanzania tunasema tuna succession Plan nzuri, tunapika viongozi wazuri, huwa wanaharibika stage gani?

South Afrika, Makapuni yanayofanya vizuri yanaongozwa na Wazungu, licha ya kwamba hao Wazungu wamezaliwa humo humo South Africa. Lakini Akipewa Mwafrika mweusi, ni swala la muda tu chali.

Tunashindwa nini,wapi,Kwanini?
Angalia hata serikali. Ingekuwa inaongozwa na mzungu ungeona safari za kila wiki kwenda Ulaya na Marekani? Bila wazungu South Africa ingekuwa sawa na nchi kama Tanganyika au Zimbabwe tu kiuchumi.
 
Nadhani ungekuwepo mfumo wa kisheria wa kuifanya reli ya SGR i-operate independent kutoka katika reli ya kawaida. Iwe na special account, utumishi wake uwe na special treatment, na hata ukaguzi wa ubora wa huduma uwe tofauti na wenye procedure pekee
 
Angalia hata serikali. Ingekuwa inaongozwa na mzungu ungeona safari za kila wiki kwenda Ulaya na Marekani? Bila wazungu South Africa ingekuwa sawa na nchi Tanganyika au Zimbabwe tu kiuchumi.
Labda nao Wanaenda Marekani na Ulaya, hatuwaoni tu. Lakini Sielewi tatizo letu ni nini hasa?
 
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:

1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.

Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.

2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,

3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi

4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.

Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu

5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,

6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka

7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.

Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.

Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo

Nawasilisha.
Hatari
 
Nadhani ungekuwepo mfumo wa kisheria wa kuifanya reli ya SGR i-operate independent kutoka katika reli ya kawaida. Iwe na special account, utumishi wake uwe na special treatment, na hata ukaguzi wa ubora wa huduma uwe tofauti na wenye procedure pekee
Hiyo sio suluhisho, ni miradi yote ya serikali iko hivyo. Sababu ni kutokuwa na uwajibikaji kuanzia ngazi ya kitaifa. Rais hawajibiki popote maana yake hakuna anayepima kama anafanya kazi au hafanyi kazi. Kiongozi asiyewajibishika anakuwa hafahamu nini maana ya uwajibikaji na hivyo hawezi kuwasimamia walio chini yake. Mkurugenzi wa shirika kama hilo alipaswa kupatikana kwa mchujo na nafasi iombwe na mtu mwenye sifa akishindwa kusimamia shirika anakuwa amevunja makubaliano hivyo ataondolewa. Sasa utaratibu wa kuteua mtu kwa vigezo vya kujuana huku akiwa hana sifa wala uzoefu ndio unaona ya mradi huo wa treni. Mkiambiwa mfanye mabadiliko ya kisiasa chama hicho kitoke madarakani hamtaki mnasema upinzani hauwezi kuongoza nchi. Ccm imeshindwa kuendesha hata shirika kubwa kama Ttcl linalozidiwa kwa huduma ya internet na kampuni ndogo kama Zantel wakati wana minara nchi nzima na wao ndio wanaowauzia data mitandao mingine ya simu. Angalia Dart ndio utaona huko juu hakuna kitu. Kuna watu wanaoigiza tu wanafanya kazi lakini hakuna kazi inafanyika.
 
Labda nao Wanaenda Marekani na Ulaya, hatuwaoni tu. Lakini Sielewi tatizo letu ni nini hasa?
Akili ya mtu mweusi inawaza pesa kwa kuamini pesa ndio maendeleo. Jamii kama hiyo ukiipa makaratasi yanayoitwa pesa hata kazi hazitafanyika. Hakuna ubunifu. Serikali inapenda pesa kuliko kutoa huduma bora na ndio maana unaona miradi inajichokea. Hizo behewa ni mpya tu ila hazitakarabatiwa zibaki kwenye upya wake. Si unaona Dart magari yao ni mabovu, viti vibovu na magari machafu sana hayasafishwi ndani licha ya kwamba mradi ule unaingiza pesa nyingi sana.
 
Hahaha inabidi tuwaombe WAZUNGU waje WATUTAWALE tena.

Huwa naona hata Project wakianzisha wazungu nchini zina fanya vizuri zikiwa chini ya uangalizi wao. Wakiondoka tu, na mradi unaupa muda mfupi tu nao unakufa.

Watanzania tunasema tuna succession Plan nzuri, tunapika viongozi wazuri, huwa wanaharibika stage gani?

South Afrika, Makapuni yanayofanya vizuri yanaongozwa na Wazungu, licha ya kwamba hao Wazungu wamezaliwa humo humo South Africa. Lakini Akipewa Mwafrika mweusi, ni swala la muda tu chali.

Tunashindwa nini,wapi,Kwanini?
Waswahili wengi ni WEZI halafu wana ushamba.

Ukimuweka mswahili mahali lazima AIBE au atafute namna ya kupiga dili, kula RUSHWA, KUHARIBU na kuleta MATATIZO.

Huwezi kukutana na mswahili aliye HONEST, wengi vibaka vibaka tu.

Sijui ni NJAA au hawakufunzwa malezi na baba zao? Au tumerogwa?

Cc: FaizaFoxy Nyani Ngabu Mshana Jr DR Mambo Jambo chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Stuxnet Dkt. Gwajima D
 
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:

1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.

Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.

2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,

3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi

4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.

Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu

5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,

6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka

7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.

Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.

Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo

Nawasilisha.
Nimepanda hiyo business class kutoka moro to Dodoma kahawa nimeambiwa imeisha ambayo ni sehem ya huduma
 
Kwa maelezo yako inaonekana ulipanda hiyo treini kwenda kuchunguza kasoro wala haukuwa na haja ya safari.
Nivizuri kutoa mapungufu na sio kusifia ujinga Watanzania tubadilike tukubali kuambiwa ukweli lazima tuajili watu wenye taaluma siyo kuokotana tu mitaani.
 
Waswahili wengi ni WEZI halafu wana ushamba.

Ukimuweka mswahili mahali lazima AIBE au atafute namna ya kupiga dili, kula RUSHWA, KUHARIBU na kuleta MATATIZO.

Huwezi kukutana na mswahili aliye HONEST, wengi vibaka vibaka tu.

Sijui ni NJAA au hawakufunzwa malezi na baba zao? Au tumerogwa?

Cc: FaizaFoxy Nyani Ngabu Mshana Jr DR Mambo Jambo chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Stuxnet Dkt. Gwajima D
Serikali ilitakiwa iwape Jkt ili wasimamie uendeshaji naamini ingedumu miaka mingi na watu wasinge leta uswahili.
 
Nadhani maelezo mengi lakini vitu vingi sio vitu vikubwa vya kufungua mjadala ila kuna mambo mawili makuu ni lazima yafanyike kwa maoni yangu na moja niliongea hata kabla ya mradi kuanza na narudia tena. TRC Management wakae pembeni ni lazima itafutwe kampuni private kuendesha operation ili ufanisi uwe wa juu na kuwe na uwajibikaji katika kutoa huduma, jambo hili wala sio geni tuna Airport pale lakini private wanaendesha huduma zote ili kwangu ni muhimu sana.

TRC hawakujipanga katika kuondoka/ kuwasili, Airport ni kubwa sana lakini unaweza kukuta ndege 3 zinaondoka wakati mmoja abiria hawazidi 500 wanaingia na sehemu za kukaa kusubiri inachukuwa mara 3 kwa hiyo nafasi kubwa, sasa wewe unajenga kituo cha train inachukuwa watu 1000 wakati mmoja hata ingekuwa airport kungekuwa na zahma bado hujui mfumo gani utumike kuepusha msongamano. Ushauri wa bure kutanua kituo sio solution ila waandike train reporting 2 hours kabla ya kuondoka na milango inafungwa dakika 15 kabla, Train iwe tayari kupokea abiria masaa 2 kabla ili mtu akija mapema ana scan ticket yake na anaenda kupanda train moja kwa moja katika masaa mawili watu wanaingia tu hakuna kusubiri kama mzigo sehemu ndogo ya watu 200 tu.
 
Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana
Samaki huoza kuanzia kichwani.
Mfumo wa utawala na uendeshaji wa nchi kwa ujumla umeharibika na umefeli.

Mnaenda kupiga kura, wasimamizi wa uchaguzi wanakimbia na masanduku ya kura kwenda kujaza ndani yake kura bandia ili mpewe washindi bandia!

Kwa mazingira ya hivyo usitegemee kupata ufanisi kwenye jambo lolote.

Ili nchi ipone ni lazima kwanza tukubali kufanya mabadiliko ya kweli ili tupate watawala halali wanaochaguliwa na wananchi na kuwajibika kwa umma, siyo hawa wanaojichagua wenyewe kwa shuruti, udanganyifu, wizi..
'Once a cheater always a cheater..'
 
Ww unategemea Nini?, hapo ni chapa ilale...msingi mkuu ni malezi, tunakua katika mazingira ambayo hata nyumbani ukuta umechubuka hakuna anayejali, bomba linavuja vitone vya maji hakuna anayejali, maji chooni hakuna ilihali bomba lipo hakuna anayejali...ingia nyumba zetu sisi (watu wa uchumi wa kati) halafu ingia nyuma za waarabu, wahindi, mabohora (uchumi wa kati pia) ona mazingira ya nyumba zao, vyumba vyao na mpangilio wa vitu vyao utajisemea Hawa wana afadhali na Kila kitu kina utaratibu... Management nzuri huanza ngazi ya familia, kitu kikiharibika haraka kinatengenezwa, Sasa imagine AC pia zinawashinda watu?, kufanya tu service Kila baada ya miezi mitatu pia zimewashinda?.
 
Back
Top Bottom