KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii kitu atafutwe mwekezaji Tena mzungu maana wahindi na wachima na waafrika ni wapigaji na waharibifu sana...
Mathalani tushajua kwa siku makadirio ya mapato ni kiasi kadhaa basi apewe mzungu Tena kutoka ulaya magharibi au marekani then serikali iwe TU inapokea chake....
Vinginevyo hii kitu inaenda kuangukia pia Tena kwa serikali hii ya CCM ambayo viongozi wanaongoza kuwa na mabasi na malori.... ACHA tuone
 
Ndio akilk za machawa zilivyo.

Ukielezea kasoro za miradi, badala washughulikie kutatua kasoro. Wanashughulika na mtoa taarifa
Ameshindwa namna ya kuziwasilisha, ukikosoa kosoa kama binadamu mwema lkn ukikosoa kama mchawi tutajua tu.
 
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:

1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.

Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.

2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,

3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi

4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.

Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu

5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,

6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka

7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.

Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.

Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo

Nawasilisha.
Africa, in Trump's voice.
 
Ulaya etc private sector imepewa kipaumbele. Na wao wanaweka mazingira mazuri kwa sekta binafsi kufanya kazi vizuri. State own business ni chache sana. PPP ipo sana kwa wenzenu, serikali inabaki kuwa mbia na regulator.
 
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:

1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.

Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.

2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,

3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi

4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.

Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu

5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,

6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka

7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.

Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.

Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo

Nawasilisha.
Watanzania wengi hatuna good customer care, ndio maana mahoteli mengi kwa mfano Arusha utakuta wakenya na waganda wameajiriwa
 
Kama ni kweli..hii project itakufa ndani ya miaka mitatu..lakini sishangai..watanzania tumezoea ujinga..uchafu..uchawi (uchawi ni kutojali vitu vya watu wengine)..angalia mwendokasi ni uchafu mtupu..angalia airport kama mwanza ni uchafu na ujinga mtupu..
Nakubali tuwape wazingu..watusaidie..wala sio ukoloni
 
Project nyingi za serikali zinakufa kwasababu hakuna anayejali,kila mtu anaangalia kupiga tu,hakuna tunachofaulu Tz kila kona kuna ubabaishaji mwingi sana na hakuna anayejali
 
Serikali ilitakiwa iwape Jkt ili wasimamie uendeshaji naamini ingedumu miaka mingi na watu wasinge leta uswahili.
Sasa watasimamiaje mradi kama huo ambao hawana uzoefu nao. JKT haina reli labda kama ni kulinda mali za mradi ila sio uendeshaji, unahitaji utaalamu na uzoefu mkubwa ili urudishe faida.

Tatizo ni business as usual ni kama bandarini pale hakukuwa na haja ya kuwepo kwa kampuni ya DP World bali management tu ambayo ni team ya watu wachache tu watakaosimamia shughuli zote za bandari kwa kushirikiana na serikali. Yaani serikali inatakiwa itafute tu management iliyowahi kusimamia huduma za reli nchi za Ulaya huko isimamie mradi wa SGR na management hiyo ndio itakayotoa mikataba ya ajira. Mtu akileta uzembe anajua tu kuna mzungu hapo anakutumua tu.

Sasa mradi unajiendea tu hata treni ikizima njiani hakuna anayejali. Mradi huo hauna tofauti na DART.

Mtu yeyote ukimpa kazi afanye akajua chance ya kumfukuza kazi na kumuwajibisha kwa makosa ni ndogo ndio anaharibu. Suluhisho ni kutafuta managent toka nje ya nchi huko ndio watu watu watafanya kazi kwa ufanisi.
 
Kafulila mzee wa PPP atafute a private company wenye uzoefu wa kuendesha treni huko nje. Ukiacha hii treni waendeshe wamatumbi itakufa kifo cha membe in no time.
ChoiceVariable msisitize sana Kafulila katika hili.
 
Kwa chura kiziwi hatu toboi labda angekuq uncle magu at least wange jisimamia
 
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:

1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.

Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.

2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,

3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi

4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.

Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu

5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,

6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka

7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.

Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.

Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo

Nawasilisha.
Tangu lini Mtanzania akaweza biashara?
 
Hao JKT wana uzoefu wa kuendesha treni au unadhani treni ni biashara ya Banda la chips
Si wanapelekwa China na korea kupata mafunzo, yani unawachukua vijana walioko makambini wasomi waliopo Jkt kwa kujitolea unawaajili jeshini kisha unawapeleka kwenye mafunzo wakiludi wanapangiwa vituo vya kazi wakati huo Jkt unawapa usimazi, Waajiliwa wa sasa wa TRC unawapangia kazi nyingine au wanalipwa stahiki zao wanaacha nao.
 
Jana tu, nimeona ubavuni limekwanguliwa utafikiri gari iliyopigwa pasi, sasa nikajiuliza hii iko pekee yake njiani, kipi kilitokea mpaka ipigwe pasi. 😂
Mimi nashangaa sana watu wa serekali. Serekali haiwezi simamia mradi wwte lazima ufe ushahidi ni vifo vya mashirika ya uma
 
Hii kitu atafutwe mwekezaji Tena mzungu maana wahindi na wachima na waafrika ni wapigaji na waharibifu sana...
Mathalani tushajua kwa siku makadirio ya mapato ni kiasi kadhaa basi apewe mzungu Tena kutoka ulaya magharibi au marekani then serikali iwe TU inapokea chake....
Vinginevyo hii kitu inaenda kuangukia pia Tena kwa serikali hii ya CCM ambayo viongozi wanaongoza kuwa na mabasi na malori.... ACHA tuone
Ushauri mzuri
 
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:

1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.

Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.

2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,

3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi

4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.

Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu

5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,

6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka

7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.

Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.

Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo

Nawasilisha.
Inauma sana, juzi mdau kapanda behewa halina AC. akatokota vibaya mno
 
Pale Dom customer care niliyoikuta pale ni upuuzi mtupu.. Mteja sio mfalme tena bali anaonekana kama kibaka ama mshamba Fulani hivi
Kwa hoja yako ninashauri angalau kuwe na ajira ya mkataba mfupi, halafu utendaji ndio uwe kigezo cha kuongeza mkataba. Italeta tija. Hii zoa zoa hadi kustaafu unafanya watumishi wengi kutowajibika. Na kwa sekta nyingi za Umma watumishi wapo namna hii.
 
Back
Top Bottom