Hivi sisi huwa tunaweza nini?
Tizama wakandarasi wa Ndani quality ya Barabara na Majengo wanayojenga, linganisha na Barabara na Majengo yaliyojengwa na wakandarasi kutoka nje.
Vyetu huwa ni hovyo hovyo utadhani huwa hatuna maarifa.
Tatizo ni sisi, kwa sababu hata Watanzania wengi waliosoma nje bado uongozi shida, utendaji shida, waliopata exposure na ambao hawana unakuta wanafanana.
Hao wachache waoweza, utakuta wanapigwa vita mpaka ama waache kazi au wafukuzwe.
Utanzania au Uafrika ni Tatizo, sasa tunatokaje tulipo.
Hahaha inabidi tuwaombe WAZUNGU waje WATUTAWALE tena.Hatuuwezi kitu. Ujinga, ufisadi, rushwa, uzembe bado umetamalaki TZ. Ingekua inawezekana kila kitu wapewe mizungu nchi itaendelea faster, sisi wamatumbi ukitupa kitu it's just a matter of time kukiua.
Angalia hata serikali. Ingekuwa inaongozwa na mzungu ungeona safari za kila wiki kwenda Ulaya na Marekani? Bila wazungu South Africa ingekuwa sawa na nchi kama Tanganyika au Zimbabwe tu kiuchumi.Hahaha inabidi tuwaombe WAZUNGU waje WATUTAWALE tena.
Huwa naona hata Project wakianzisha wazungu nchini zina fanya vizuri zikiwa chini ya uangalizi wao. Wakiondoka tu, na mradi unaupa muda mfupi tu nao unakufa.
Watanzania tunasema tuna succession Plan nzuri, tunapika viongozi wazuri, huwa wanaharibika stage gani?
South Afrika, Makapuni yanayofanya vizuri yanaongozwa na Wazungu, licha ya kwamba hao Wazungu wamezaliwa humo humo South Africa. Lakini Akipewa Mwafrika mweusi, ni swala la muda tu chali.
Tunashindwa nini,wapi,Kwanini?
Labda nao Wanaenda Marekani na Ulaya, hatuwaoni tu. Lakini Sielewi tatizo letu ni nini hasa?Angalia hata serikali. Ingekuwa inaongozwa na mzungu ungeona safari za kila wiki kwenda Ulaya na Marekani? Bila wazungu South Africa ingekuwa sawa na nchi Tanganyika au Zimbabwe tu kiuchumi.
HatariHabari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:
1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.
Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.
2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,
3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi
4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.
Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu
5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,
6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka
7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.
Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.
Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo
Nawasilisha.
Hiyo sio suluhisho, ni miradi yote ya serikali iko hivyo. Sababu ni kutokuwa na uwajibikaji kuanzia ngazi ya kitaifa. Rais hawajibiki popote maana yake hakuna anayepima kama anafanya kazi au hafanyi kazi. Kiongozi asiyewajibishika anakuwa hafahamu nini maana ya uwajibikaji na hivyo hawezi kuwasimamia walio chini yake. Mkurugenzi wa shirika kama hilo alipaswa kupatikana kwa mchujo na nafasi iombwe na mtu mwenye sifa akishindwa kusimamia shirika anakuwa amevunja makubaliano hivyo ataondolewa. Sasa utaratibu wa kuteua mtu kwa vigezo vya kujuana huku akiwa hana sifa wala uzoefu ndio unaona ya mradi huo wa treni. Mkiambiwa mfanye mabadiliko ya kisiasa chama hicho kitoke madarakani hamtaki mnasema upinzani hauwezi kuongoza nchi. Ccm imeshindwa kuendesha hata shirika kubwa kama Ttcl linalozidiwa kwa huduma ya internet na kampuni ndogo kama Zantel wakati wana minara nchi nzima na wao ndio wanaowauzia data mitandao mingine ya simu. Angalia Dart ndio utaona huko juu hakuna kitu. Kuna watu wanaoigiza tu wanafanya kazi lakini hakuna kazi inafanyika.Nadhani ungekuwepo mfumo wa kisheria wa kuifanya reli ya SGR i-operate independent kutoka katika reli ya kawaida. Iwe na special account, utumishi wake uwe na special treatment, na hata ukaguzi wa ubora wa huduma uwe tofauti na wenye procedure pekee
Akili ya mtu mweusi inawaza pesa kwa kuamini pesa ndio maendeleo. Jamii kama hiyo ukiipa makaratasi yanayoitwa pesa hata kazi hazitafanyika. Hakuna ubunifu. Serikali inapenda pesa kuliko kutoa huduma bora na ndio maana unaona miradi inajichokea. Hizo behewa ni mpya tu ila hazitakarabatiwa zibaki kwenye upya wake. Si unaona Dart magari yao ni mabovu, viti vibovu na magari machafu sana hayasafishwi ndani licha ya kwamba mradi ule unaingiza pesa nyingi sana.Labda nao Wanaenda Marekani na Ulaya, hatuwaoni tu. Lakini Sielewi tatizo letu ni nini hasa?
Waswahili wengi ni WEZI halafu wana ushamba.Hahaha inabidi tuwaombe WAZUNGU waje WATUTAWALE tena.
Huwa naona hata Project wakianzisha wazungu nchini zina fanya vizuri zikiwa chini ya uangalizi wao. Wakiondoka tu, na mradi unaupa muda mfupi tu nao unakufa.
Watanzania tunasema tuna succession Plan nzuri, tunapika viongozi wazuri, huwa wanaharibika stage gani?
South Afrika, Makapuni yanayofanya vizuri yanaongozwa na Wazungu, licha ya kwamba hao Wazungu wamezaliwa humo humo South Africa. Lakini Akipewa Mwafrika mweusi, ni swala la muda tu chali.
Tunashindwa nini,wapi,Kwanini?
Nimepanda hiyo business class kutoka moro to Dodoma kahawa nimeambiwa imeisha ambayo ni sehem ya hudumaHabari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:
1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.
Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.
2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,
3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi
4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.
Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu
5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,
6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka
7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.
Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.
Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo
Nawasilisha.
Nivizuri kutoa mapungufu na sio kusifia ujinga Watanzania tubadilike tukubali kuambiwa ukweli lazima tuajili watu wenye taaluma siyo kuokotana tu mitaani.Kwa maelezo yako inaonekana ulipanda hiyo treini kwenda kuchunguza kasoro wala haukuwa na haja ya safari.
Serikali ilitakiwa iwape Jkt ili wasimamie uendeshaji naamini ingedumu miaka mingi na watu wasinge leta uswahili.Waswahili wengi ni WEZI halafu wana ushamba.
Ukimuweka mswahili mahali lazima AIBE au atafute namna ya kupiga dili, kula RUSHWA, KUHARIBU na kuleta MATATIZO.
Huwezi kukutana na mswahili aliye HONEST, wengi vibaka vibaka tu.
Sijui ni NJAA au hawakufunzwa malezi na baba zao? Au tumerogwa?
Cc: FaizaFoxy Nyani Ngabu Mshana Jr DR Mambo Jambo chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Stuxnet Dkt. Gwajima D
Hao JKT wana uzoefu wa kuendesha treni au unadhani treni ni biashara ya Banda la chipsSerikali ilitakiwa iwape Jkt ili wasimamie uendeshaji naamini ingedumu miaka mingi na watu wasinge leta uswahili.
Samaki huoza kuanzia kichwani.Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana