A
Anonymous
Guest
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN.
Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya miamala mingi bila mafanikio. Nawaomba mfanye marekebisho Kuna hitirafu kwenye upande wa Mastercard...
Nikianza kuorodhesha changamoto
1. Kusitisha card inaleta sms error
2. Kusitisha card inaleta meseji card locked status unchanged
3. Ukifanya muamala ukiwa refunded haufiki kwenye Tigopesa account ni jambo ambalo hapo awali halikuwepo
4. Kufuta card pia imekuwa changamoto pia inaleta error
5. Pia kutengeneza card inaleta kadi haijaundwa Hali ambayo inanilazimu kusajili simcard nyingine kutengeneza card.
Naomba kuwasilisha hizi changamoto mpeleke idara husika kutatua changamoto hizo maana imekuwa mtihani sasahv kufanya huduma mbalimbali kupitia Tigo Mastercard...
NAOMBA KUWASILISHA NA PIA TUNAOMBA UTEKELEZAJI KATIKA HILO TUENDELEE KUTUMIA TIGOPESA MASTERCARD