Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

Kwa uzoefu wangu,Magari ya Kisouth Africa sio rafiki kwa mtu anayenza maisha.

Nfano unaweza kununua Lend Rover Discovery 3 kwa bei ya 15ml pamoja na usafiri,ukalipia ushuru 17ml jumla 35ml,likizingua buster zake linagoma kunyanyuka juu likishuka chini linataga mazima uwezi kulitoa ,bei ya buster 4 hapo dar nikati ya 4ml lakini ukifunga mkataba unaweza tumia zaidi ya miaka minne.

Kama unaanza maisha bora ukaangalia Japan spare zake zipo nyingi used pale ilala na mikoani, bei zake ni ndogo ukilinganisha na spare za Land Rover,Ford au 4Turner na Hilux . Pia Spare za Toyota za kisouth zinagoma kuingilina na Toyota ya Japan.

Magari ya kisouth spare zake hapo dar zipo nyingi pia, lakini sio bei rafiki kwa watu wenye kipato kidogo.

Kwenye ubora,ugumu, confability magari ya kisouth ni magumu sana mazuri,yametengezwa kulingana na mazingira ya barabara zetu za kiafrica ukilinganisha na magari ya Kijapan.
 
shukran sn kaka
 
Hongera kwa kubuni jambo jema sana na litakalowaparia kipato halali na safi kabisa, hapo zambia nasikia dumper zina bei nzuri na ndogo sana, tengenezeni network mpaka na gharama za tra, yaani clearance fee, mtakapokuwa na jedwali la gharama kwa ujumla wake itasaidia wengi kujua in and out, kazi njema.
 
βœ…πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
Kwa TOYOTA LAND CRUISER (double cabin pick up):
1. Itahitaji wastani wa mafuta kiasi gani mpaka kutoka S. A hadi Ngara mkoani Kagera?

2. Itakuchukua siku ngapi kulifikisha Ngara?

3. Malipo yako ni shilingi ngapi? (makisio, si lazima iwe actual figure).
 
Ingekuwa vizuri ukinipata taarifa zifutazo:
1.CC ukubwa wa Engine.
2.Engine Type kama Diessel Au Petrol.
3.Gharama ya ducoments $600
4.Utanilipa Rand 15,000 hadi Ngara.
5.Siku kufika ngara inategemea na uwezo wa Gari pia na Gari lilipo SA,kutoka SA Johannesburg nfano hadi Zambia 24hrs,kutoka Zambia hadi Tunduma 24 hours,documents za ushuru kama zitatangulia kwa agent Tunduma masaa 3 navuka,

5.Kuitafuta Dodoma, Singida,Tinde,Kahama, hadi Ngara Mjini ni siku moja, jumla kati ya siku nne hadi 5 itatategea na changamoto za mipakani kuchelewesha documents.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…