Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

Je wewe mwenyewe ukitafutwa kwa njia hiyo unapatikana?
 
business consultants mnahitaji website.
call/sms/whatsapp 0797870940
 
business consultants mnahitaji website.
call/sms/whatsapp 0797870940
 
business consultants mnahitaji website.
call/sms/whatsapp 0797870940
 
AI na social media zimepunguza soko la website

Wateja wanahitaji engagement na testimonials au review na hivi vinapatikana kwenye social media siyo website

Kwa sasa wengi wanaona bora kuwa bize na social media kuliko kuwa na website
 
ungekaa kimya tu kuficha ujinga wako..
rudi instagram mkuu huku hapakufai

embu niambie ai imeua vipi soko la website..
 
unatumia search engine au hutumii?
au niwe specific google ipo au imekufa?
unatumia google au hutumii?.
Natumia ila siyo kama zamani kabla ya chatgtp

Pia Google inakula sana mb tofauti na WhatsApp au TikTok

Matumizi ya Google yataendelea kushuka kila mwaka
 
Natumia ila siyo kama zamani kabla ya chatgtp

Pia Google inakula sana mb tofauti na WhatsApp au TikTok

Matumizi ya Google yataendelea kushuka kila mwaka
kumbe mtu wa tiktok ndo maana...
huwezi elewa nini maana ya search engine huwezi elewa nini maana ya website.

huwezi elewa nini maana ya umiliki wa domain name.

ungerudi tu tiktok na whatssapp status kutafuta bidhaa na huduma
 
Hujaelewa nini nimekusanua ila umekimbia mbio mbio kuniita mtu wa WhatsApp

Endelea na uzi wako

Ungetulia kidogo japo dakika 15 ndiyo unijibu ila wewe chap kwa haraka umeshapata conclusion
 
Ili mteja anunue bidhaa kwako siyo suala tu la wewe kuwa na website

Kwenye hiyo website kuna
1. Engagements?
2. Testimonials and reviews za kweli?

Hivyo viwili vinapatikana kirahisi kwenye social media siyo website ndiyo sababu Wafanyabiashara wengi hawaoni faida hasa ya kuwa na website

Pili kwanini niende Google wakati ninayo AI tayari?

Endelea kujifunza elimu ni bahari
 
Hujaelewa nini nimekusanua ila umekimbia mbio mbio kuniita mtu wa WhatsApp

Endelea na uzi wako

Ungetulia kidogo japo dakika 15 ndiyo unijibu ila wewe chap kwa haraka umeshapata conclusion
kwa hoja gani ya kupoteza dakika 15 kufikiria...unaongelea utoto wa tiktok mm naongelea mambo makubwa ya kikampuni
 
sawa mr engagements na review... bwana elimubwa tiktok..😂😂
 
Na nikihitaji web ambayo nitakuwa napakia series zangu, yaani kama YouTube hivi, sema mimi ndo mwenye channel, wengine ni views tu. Na iwe inanionesha namba ya views and maoni. Video ziwe kwenye mtiririko sahihi, zinazoplay pasi na kukwama kwama

Inawezekana?
 
Nahitaji kurepear je itanigharimu kiasi Gani ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…