Karibu sana – kazi ni kuanza mara moja! 🚀 call/whatsapp 0797 870 940Naitaji web yangu iwe hv iwe kama app ya kubetia ila yenyewe kwaajil ya ubunifu mfano kama kijana ana bunifu hana mtaji yenye iwe na sehem ya kuwasilisha wazo au bas nitakuchek pm wasije watu wakapita na wazo langu
Tumia durable.com uwapige vizuri,na anza kutafuta kazi nyingine za kufanya, software engineering is a dying professionPata Website yako ndani ya SIKU 3 TU!![]()
Natoa huduma ya Website Design kwa bei nafuu na ya uhakika:
GHARAMA: Tsh 300,000 TU![]()
Bei hii inajumuisha:
Kutengeneza website kamili![]()
Hosting (Kuweka website online)![]()
Usajili wa Domain Name (Jina la website yako)![]()
Professional Emails 5 zinazoendana na domain yako![]()
(mfano: [email protected])
NAMNA YA MALIPO (Awamu 2):![]()
150,000/- kabla ya kuanza kazi![]()
150,000/- baada ya website kukamilika![]()
KAZI INAANZA MARA MOJA BAADA YA KUWASILIANA NA MTEJA!![]()
Baadhi ya kazi zangu:![]()
www.premierhotel.co.tz�![]()
www.paremountainculturaltourism.com![]()
www.nauzagari.com![]()
www.magarimotorstd.com![]()
www.climatehubtz.org![]()
Wasiliana nami sasa:![]()
Call/WhatsApp: 0797 870 940
Ipeleke biashara yako mtandaoni leo na uanze kupata wateja zaid![]()
hujui unachokiongea.Tumia durable.com uwapige vizuri,na anza kutafuta kazi nyingine za kufanya, software engineering is a dying profession
One thing for sure, naijua kuliko wewe, na hakuna software engineer anayejielewa anatafuta kazi za kutengeneza apps/websites, ni kama kuwa charge watu kutuma emails, au ndio nyie mmesoma coding for 2 months then mnajiita software engineer 😁😂hujui unachokiongea.
Unaijua software engineering wewe.
Swali mkuu, hakuna fee yoyote baada ya hapo?Huduma zinaendelea
call/sms/whatsapp
0797 870940
jipatie website ya kisasa kwa gharama nafuu zaidi