Website Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 822
- 416
- Thread starter
-
- #141
nioneshe hiyo domain unayonunua kwa 10,000 na humo humo unapata hosting ya mwaka mzima.Wakati nikitumia Ai najitengenezea bure ndani ya dk chache tu nabakia kulipia hosting ma domain name kwa nama 10,000 tu.