Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu.

Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema, mipango ya chadema, mikakati na mambo mbalimbali ya chadema

Una maoni gani kuhusiana na kuraruana na kuvuana nguo hadharani kwa wanachama na viongozi wa chadema mitandaoni? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Matamanio yao yalikuwa mabaya kwa Mustakabali wa Tanzania yetu
Wacha nawao Wachapane maneno ikibidi waamie kwenye
makofi kabisa❗️
tuwakamakate kama kuku wa kisasa🤠🤠🤠
 
Matamanio yao yalikuwa mabaya kwa Mustakabali wa Tanzania yetu
Wacha nawao Wachapane maneno ikibidi waamie kwenye
makofi kabisa❗️
tuwakamakate kama kuku wa kisasa🤠🤠🤠
watatoana ngeu this time round,
mambo yakiendelea hivi.

wanararuana kitaifa na kimataifa 🐒
 
Wamegombana lini Mzee, hebu tililika
tangu walipojichagua na kuingia uongozini wanagombana tu gentleman kwa namna tofauti.

kila moja hamuamini mwingine.
usaliti unazengea kwenye viunga vya uongozi wa kitaifa wa chadema 🐒
 
Back
Top Bottom