Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu.
Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema, mipango ya chadema, mikakati na mambo mbalimbali ya chadema
Una maoni gani kuhusiana na kuraruana na kuvuana nguo hadharani kwa wanachama na viongozi wa chadema mitandaoni?
Matamanio yao yalikuwa mabaya kwa Mustakabali wa Tanzania yetu
Wacha nawao Wachapane maneno ikibidi waamie kwenye
makofi kabisa❗️
tuwakamakate kama kuku wa kisasa🤠🤠🤠
Matamanio yao yalikuwa mabaya kwa Mustakabali wa Tanzania yetu
Wacha nawao Wachapane maneno ikibidi waamie kwenye
makofi kabisa❗️
tuwakamakate kama kuku wa kisasa🤠🤠🤠