GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
WanaCCM wote,

Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k

Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.

Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.

Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhiu lenye maslahi mapana ya Taifa.

Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwani ni ipi kazi ya 700b.?
 
Weka namba zenu basi tuwachangie......hivisasa nipo vijana kama 100 hivi wanataka kuwachangia,Kwa kifupi hamasa ni kubwa Sana Kwa vijana hongereni Sana CCM
 
Wameuza bandari kwa DP World...chama kimeingiza pesa ndefu wanachama wakipewa kazi ya kujibu hoja mitandaoni na kokote maswali yakiibuka. Lile gawio kama asante kwa ccm ni gawio kubwa sana Toka kwa DP World...ccm ni wachawi pamoja na vizazi vyao vyote, wamelaaniwa sana ndio maana wanatapatapa mpaka sasa
 
ni rahisi mno aise 🐒
 
Attachments

  • IMG-20250811-WA0012.jpg
    IMG-20250811-WA0012.jpg
    111.9 KB · Views: 27
WanaCCM wote,

Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k

Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.

Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.

Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa kutakatisha pesa za 10% kutoka DP world, waarabu wa loliondo na wengineo
 
Wameuza bandari kwa DP World...chama kimeingiza pesa ndefu wanachama wakipewa kazi ya kujibu hoja mitandaoni na kokote maswali yakiibuka. Lile gawio kama asante kwa ccm ni gawio kubwa sana Toka kwa DP World...ccm ni wachawi pamoja na vizazi vyao vyote, wamelaaniwa sana ndio maana wanatapatapa mpaka sasa
Jikite kwenye Harambee gentleman bila kuweweseka

hii ni fursa kwa kila mTanzania kuonyesha uzalendo wake kikakamavu 🐒
 
Kuonyesha uzalendo kwa wezi na wazurumaji...hakuna wastage ya resource kama hizo
 
michango yote kwa CCM ni kwaajili ya kukusaidia wewe na waTanzania wengine gentleman.

kwa ufupi,
hiyo harambee ni kwa maslahi ya Taifa 🐒
 
Hiyo 100b kwa CCM ni utani, hao wana mtandao wanaweza kuchanga hizo kwa dk 30 tu.

Ukitaka kuwajua wana mtandao ni kundi la namna gani basi mtafute comred Polepole.
Harambee hiyo ni kwa maslahi ya taifa gentleman 🐒
 
WanaCCM wote,

Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k

Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.

Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.

Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Za kutakatisha sawa
 
Pesa za mafisadi,kuanzia madawa ya kulevya mpaka majambazi
 
Money laundering…
 
Back
Top Bottom