GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
waleze wadau kinagaubaga kwamba kwa urais ukomo ni ngap, ubunge ni ngapi na udiwani ni ngapi, ukilinganisha na idadi ya wagombea wote wa chama husika nchi nzima šŸ’
Screenshot_20250812-192543.png

Au Sheria ilipotungwa mlikuwa bado hamjatungwa!?
Hayo yangefanywa na msiowapenda kwa sasa mngeshawatia ndani wote!

Anyways...kwa sasa ni baina yenu, yetu, teknolojia na MUNGU wa ukweli!
 
View attachment 3439294
Au Sheria ilipotungwa mlikuwa bado hamjatungwa!?
Hayo yangefanywa na msiowapenda kwa sasa mngeshawatia ndani wote!

Anyways...kwa sasa ni baina yenu, yetu, teknolojia na MUNGU wa ukweli!
kwahiyo hiyo ndio nini sasa gentleman?
Je unafahamu CCM inawagombea wangapi wa ubunge na udiwani nchi nzima achilia mbali urais?šŸ’
 
View attachment 3439294
Au Sheria ilipotungwa mlikuwa bado hamjatungwa!?
Hayo yangefanywa na msiowapenda kwa sasa mngeshawatia ndani wote!

Anyways...kwa sasa ni baina yenu, yetu, teknolojia na MUNGU wa ukweli!
 
WanaCCM wote,

Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k

Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.

Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.

Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Hiyo b100 ni ya kutolewa na fisadi moja tu la CCM, wala haihitaji kikao.
 
Back
Top Bottom