GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Cccm wanachangiwa kwasabb ya hofu, watu/wafanyabiashara wanaogopa mambo ya kubambikiwa TRA, TAKUKURU nk nk
Kila mwenye akili timamu analijua hili!

NB: Mbona yale mabaiskel, pikipiki na magari mapya mlinunua bila michango?!.
 
zingatia baadhi ya wachangiaji niliowataja gentleman,

ni vizuri kujiepusha na uropokaji Taifa linapoelekea kwenye tukio maalumu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Ukikua utaacha, Bado utoto unakusumbua wewe
 
w
Gentleman,
hao si waache kwanza ufirauni wa kulawiti watoto wadogo kisha wanajificha madhabahuni ?

kumbuka,
harambee ya CCM ya kukusanya billion 100 ni saa11 jioni leo 🐒

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Bunge linaenda kuwa kikao cha ndugu wapuuzi wakubwa nyie
eti jambazi lema ndio mastermind wa tone tone kidigitali, halafu tena eti huyo huyo ndio muhamasishaji mkuu na mtunza hazina ya tine tone,

hivi mlikua mnafikiria nni haswa na mtu mwenyewe alikua kapigika namna ile 🐒
 
Utaumia sn
 
Ukikua utaacha, Bado utoto unakusumbua wewe
ikiwa huna cha kuchangia kwenye harambee ya CCM ya bilioni 100 unakaa kimya tu na itapndeza sana gentleman kuliko kuweweseka tu 🐒
 
Cccm wanachangiwa kwasabb ya hofu, watu/wafanyabiashara wanaogopa mambo ya kubambikiwa TRA, TAKUKURU nk nk
Kila mwenye akili timamu analijua hili!

NB: Mbona yale mabaiskel, pikipiki na magari mapya mlinunua bila michango?!.
wana CCM wenyewe wameomba kuchangia chama chao gentleman na si vinginevyo 🐒
 
Cccm wanachangiwa kwasabb ya hofu, watu/wafanyabiashara wanaogopa mambo ya kubambikiwa TRA, TAKUKURU nk nk
Kila mwenye akili timamu analijua hili!

NB: Mbona yale mabaiskel, pikipiki na magari mapya mlinunua bila michango?!.
Na inaadhiria kuna ka namna,wangeweza kusema tu tutapokea michango kutoka kwa wananchi wanaohitaji kujitolea kwa account number hizi ...
 
ikiwa huna cha kuchangia kwenye harambee ya CCM ya bilioni 100 unakaa kimya tu na itapndeza sana gentleman kuliko kuweweseka tu
Nawewe kama unayo si ukachangie kimya kimya yaishe....ukachangie hata kwa hofu tu maana mkuu wako si anakujua...toa akuone umetoka ili akipita awaachie huru mfanye biashara mtakavyo
 
Na inaadhiria kuna ka namna,wangeweza kusema tu tutapokea michango kutoka kwa wananchi wanaohitaji kujitolea kwa account number hizi ...
CCM hufanya mambo yake hadharani kwa uwazi gentleman.

unaweza kutuma mchango wako wa kizalendo kupitia mifumo hii hapa chini na Mungu akubariki 🐒
 
Attachments

  • IMG-20250811-WA0012.jpg
    IMG-20250811-WA0012.jpg
    111.9 KB · Views: 13
hizo dhana potofu ni nonsense gentleman, ni muhimu zaid kujikita kwenye uchangiaji kwa maslahi ya Taifa.

Pesa ni za waTanzania na ni kwa maslahi ya wananchi wote wa TANZANIA 🐒
Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka ukomo kiasi gani?
Ama mnademka demka tu hapa!?
 
w
Gentleman,
hao si waache kwanza ufirauni wa kulawiti watoto wadogo kisha wanajificha madhabahuni ?

kumbuka,
harambee ya CCM ya kukusanya billion 100 ni saa11 jioni leo 🐒
Wapi panaongoza kwa ushoga kama ccm? From top down, bottom up?
 
Sheria ya gharama za uchaguzi imeweka ukomo kiasi gani?
Ama mnademka demka tu hapa!?
waleze wadau kinagaubaga kwamba kwa urais ukomo ni ngap, ubunge ni ngapi na udiwani ni ngapi, ukilinganisha na idadi ya wagombea wote wa chama husika nchi nzima 🐒
 
Back
Top Bottom