GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pesa za mafisadi,kuanzia madawa ya kulevya mpaka majambazi
dhana potofu haziwezi kuzuia kupatikana bilioni 100 kwenye Harambee ya CCM leo gentleman.

ni muhim sana kuchangia kizalendo šŸ’
 
Mna viwanja vya mpira,majengo nnchi nzima,mna migodi,mnaiba sanaa na bado tu mnataka kuchangiwa mbwa nyie!
 
dhana potofu haziwezi kuzuia kupatikana bilioni 100 kwenye Harambee ya CCM leo gentleman.

ni muhim sana kuchangia kizalendo šŸ’
Kwanza mwarabu ameahidi kutumbukiza kiasi gani kwenye tone tone mliyoiga?ukitoa jibu na toa na mimi mchango wangu.
 
michango yote kwa CCM ni kwaajili ya kukusaidia wewe na waTanzania wengine gentleman.

kwa ufupi,
hiyo harambee ni kwa maslahi ya Taifa šŸ’
Acha uzwazwa mkuu...ccm ya wafanyabiashara na wezi
 
WanaCCM wote,

Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k

Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.

Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.

Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Pesa za wauza unga, wakwepa kodi, za waarabu na mkichota nyingine hazina haifiki hata saa 10 jioni mtakuwa nazo. Ila tuwapongeze cdm kwa ubunifu wa tonetone hadi kuigwa na chama cha wazee, na kuichanganya ccm hadi kumwaga pesa kwa Chauma, matokea yake pesa za ccm kuhonga wapiga kura zimekata.
 
zingatia baadhi ya wachangiaji niliowataja gentleman,

ni vizuri kujiepusha na uropokaji Taifa linapoelekea kwenye tukio maalumu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote šŸ’
 
uropokaji na kubwabwaja ni useless na completely nonsense kwenye masuala ya kitaifa kama harambee hii muhimu sana ya leo.

kama huna cha kuchangia, kaa kimya tu na itapndeza Zaid gentleman šŸ’
 
Kama ni kwa maslahi ya wanamanyasi nyasi ya kijani sawa.Hamjawahi kuyathamini maslahi ya mtanzania kikweli kweli.
 
uropokaji na kubwabwaja ni useless na completely nonsense kwenye masuala ya kitaifa kama harambee hii muhimu sana ya leo.

kama huna cha kuchangia, kaa kimya tu na itapndeza Zaid gentleman šŸ’
Nasema hivi, safari hii utameza matapishi yako. Ulikuwa unajiliza wakati wa Tonetone, saa hii unavuna aibu, khanithi mkubwa ww.
 
Kwani ni ipi kazi ya 700b.?
WanaCCM wote,

Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k

Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.

Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.

Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Jinga kabisa
IMG-20250812-WA0035.jpg
 
Kwahiyo mmeamua kutembeza kapu richa kukopa mpaka kuchoka na kuuza uranium kijinga.
 
B100 ndani ya siku 5?!
Si wanasema CCM imechokwa na "Watanzania"?
 
100 anatoa rostumm peke yake kabla ya wapigaji wengine so ni kweli usemayo mkubwa chawa...
 
Hizo drama

Wao wanachota tu, ikija report ya mdhibiti wanaipotezea tu mambo yanasonga si wanawatawala watanzania wapo na usingizi wa pono
 
B100 ndani ya siku 5?!
Si wanasema CCM imechokwa na "Watanzania"?

Sisiemu haichangiwi na watanzania chawa! Tunawajua na tunaishi nao wamejichokea hata supu ya kongoro wanaiona kwenye picha, wanaoichangia ni wahuni, drug dealers, wala rushwa, abduel kutoka kwa rostumm, wapigaji wote wa daslam, majambazi, matapeli, manabii na mitume feki, wachezesha kamari na waarabu wa oman, dubai, doha, nk
 
Back
Top Bottom