Kwani ni ipi kazi ya 700b.?WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhiu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi ๐
Mungu Ibariki Tanzania
waliibeza Tone tone. Sikujua kumbe pesa tamu hiviKwani ni ipi kazi ya 700b.?
Kwa kutakatisha pesa za 10% kutoka DP world, waarabu wa loliondo na wengineoWanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi ๐
Mungu Ibariki Tanzania
Hawa si kwamba hawana pesa wanataka kutakatisha pesa, hii Harambee ni njia ya kutakatisha pesa za wiziwaliibeza Tone tone. Sikujua kumbe pesa tamu hivi
Jikite kwenye Harambee gentleman bila kuwewesekaWameuza bandari kwa DP World...chama kimeingiza pesa ndefu wanachama wakipewa kazi ya kujibu hoja mitandaoni na kokote maswali yakiibuka. Lile gawio kama asante kwa ccm ni gawio kubwa sana Toka kwa DP World...ccm ni wachawi pamoja na vizazi vyao vyote, wamelaaniwa sana ndio maana wanatapatapa mpaka sasa
Kuonyesha uzalendo kwa wezi na wazurumaji...hakuna wastage ya resource kama hizoJikite kwenye Harambee gentleman bila kuweweseka
hii ni fursa kwa kila mTanzania kuonyesha uzalendo wake kikakamavu ๐
WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi ๐
Mungu Ibariki Tanzania
Pesa za mafisadi,kuanzia madawa ya kulevya mpaka majambaziWanaCCM wote,

Money launderingโฆWanaCCM wote,