Kwanza mwarabu ameahidi kutumbukiza kiasi gani kwenye tone tone mliyoiga?ukitoa jibu na toa na mimi mchango wangu.dhana potofu haziwezi kuzuia kupatikana bilioni 100 kwenye Harambee ya CCM leo gentleman.
ni muhim sana kuchangia kizalendo 🐒
Acha uzwazwa mkuu...ccm ya wafanyabiashara na wezimichango yote kwa CCM ni kwaajili ya kukusaidia wewe na waTanzania wengine gentleman.
kwa ufupi,
hiyo harambee ni kwa maslahi ya Taifa 🐒
Pesa za wauza unga, wakwepa kodi, za waarabu na mkichota nyingine hazina haifiki hata saa 10 jioni mtakuwa nazo. Ila tuwapongeze cdm kwa ubunifu wa tonetone hadi kuigwa na chama cha wazee, na kuichanganya ccm hadi kumwaga pesa kwa Chauma, matokea yake pesa za ccm kuhonga wapiga kura zimekata.WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
uropokaji na kubwabwaja ni useless na completely nonsense kwenye masuala ya kitaifa kama harambee hii muhimu sana ya leo.Pesa za wauza unga, wakwepa kodi, za waarabu na mkichota nyingine hazina haifiki hata saa 10 jioni mtakuwa nazo. Ila tuwapongeze cdm kwa ubunifu wa tonetone hadi kuigwa na chama cha wazee, na kuichanganya ccm hadi kumwaga pesa kwa Chauma, matokea yake pesa za ccm kuhonga wapiga kura zimekata.
Kama ni kwa maslahi ya wanamanyasi nyasi ya kijani sawa.Hamjawahi kuyathamini maslahi ya mtanzania kikweli kweli.zingatia baadhi ya wachangiaji niliowataja gentleman,
ni vizuri kujiepusha na uropokaji Taifa linapoelekea kwenye tukio maalumu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Nasema hivi, safari hii utameza matapishi yako. Ulikuwa unajiliza wakati wa Tonetone, saa hii unavuna aibu, khanithi mkubwa ww.uropokaji na kubwabwaja ni useless na completely nonsense kwenye masuala ya kitaifa kama harambee hii muhimu sana ya leo.
kama huna cha kuchangia, kaa kimya tu na itapndeza Zaid gentleman 🐒
Kwani ni ipi kazi ya 700b.?
Jinga kabisaWanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
WanaCCM wote,

Kwahiyo mmeamua kutembeza kapu richa kukopa mpaka kuchoka na kuuza uranium kijinga.WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
B100 ndani ya siku 5?!
Si wanasema CCM imechokwa na "Watanzania"?