Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Utakatishaji wa fedha! Mwarabu atalipa zote hizo na ziada!WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi π
Mungu Ibariki Tanzania
hizo dhana potofu ni nonsense gentleman, ni muhimu zaid kujikita kwenye uchangiaji kwa maslahi ya Taifa.Utakatishaji wa fedha! Mwarabu atalipa zote hizo na ziada!
Mbona hizo kidogo sana. Wanachanga waarabu hata siku haishi.WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi π
Mungu Ibariki Tanzania
Harambee ya CCM ni kwa maslahi mapana ya Taifa na waTanzania wote.Hizo drama
Wao wanachota tu, ikija report ya mdhibiti wanaipotezea tu mambo yanasonga si wanawatawala watanzania wapo na usingizi wa pono
WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi π
Mungu Ibariki Tanzania
Unatumia shoka kudondosha mpapai wakati kiwembe tu kinatosha.Harambee ya CCM ni kwa maslahi mapana ya Taifa na waTanzania wote.
huna haja ya kuweweseka gentleman, huna kitu kaa kimya na itapendeza zaid π
WanaCCM wote,
Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm duniani n.k.n.k
Kwahakika wameitikia wito wa ccm kwa moyo wote wa kizalendo, na wamejizatiti kujitolea bila kujibakiza na kuvuka lengo la bilioni 100.
Kuna kila dalili, lengo likafikiwa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi kwasasababu mambo ni motro mpaka sasa na wadau wamejipanga vizuri sana kwa zoezi hilo muhimu lenye maslahi mapana ya Taifa.
Ndugu mdau wa JF,
Tafadhali usikose fursa hii adhimu ya kuichangia CCM kizalendo zaidi π
Mungu Ibariki Tanzania
Rostumm keshatoa yote na mama anaisafisha leo iingie kwenye mfumo, period. Tuendelee na kampeni za mwalimu na cheyo against mama, comedy channel ya rost6um π πIn fact CCM haihitaji pesa mingi sana gentleman, ni billion 100 tu, tena ni kwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
Chama cha mabwenyenye(ccm)hayo masuala ya mashoka na viwembe waulizwe wale matapeli wa tone tone,
Harambee ya CCM inakusudia kukusanya billion 100 kwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
harambee ni ya waTanzania wote wazalendo, kwa maslahi mapana ya Taifa gentleman.
ni muhimu kuchangia chochote bila kukosa na Mungu akubariki sana π π
Rostumm keshatoa yote na mama anaisafisha leo iingie kwenye mfumo, period. Tuendelee na kampeni za mwalimu na cheyo against mama, comedy channel ya rost6um π π
MONEY LAUNDERING YA MAMAmuda umesalia kidogo sana my friends,
usikose kuchangia chochote.
Ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
Sasa kwanini wale wajumbe waliopewa hizi kitu wasiziuze kuchangia chama kuonyesha uzalendo wao?Jinga kabisa
View attachment 3438945
muda umesalia kidogo sana my friends,