GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
waleze wadau kinagaubaga kwamba kwa urais ukomo ni ngap, ubunge ni ngapi na udiwani ni ngapi, ukilinganisha na idadi ya wagombea wote wa chama husika nchi nzima πŸ’

Au Sheria ilipotungwa mlikuwa bado hamjatungwa!?
Hayo yangefanywa na msiowapenda kwa sasa mngeshawatia ndani wote!

Anyways...kwa sasa ni baina yenu, yetu, teknolojia na MUNGU wa ukweli!
 
View attachment 3439294
Au Sheria ilipotungwa mlikuwa bado hamjatungwa!?
Hayo yangefanywa na msiowapenda kwa sasa mngeshawatia ndani wote!

Anyways...kwa sasa ni baina yenu, yetu, teknolojia na MUNGU wa ukweli!
kwahiyo hiyo ndio nini sasa gentleman?
Je unafahamu CCM inawagombea wangapi wa ubunge na udiwani nchi nzima achilia mbali urais?πŸ’
 
View attachment 3439294
Au Sheria ilipotungwa mlikuwa bado hamjatungwa!?
Hayo yangefanywa na msiowapenda kwa sasa mngeshawatia ndani wote!

Anyways...kwa sasa ni baina yenu, yetu, teknolojia na MUNGU wa ukweli!
 
Hiyo b100 ni ya kutolewa na fisadi moja tu la CCM, wala haihitaji kikao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…