4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!