Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,624
- 1,937
aliambiwa apishe akajifanya mjanja, ishakula kwake.
Hatimaye damu za watu zimeanza kufanya kaziWanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
Wenda mkuu maana siamini nikionachoHatimaye damu za watu zimeanza kufanya kazi
Acheni mara moja kumloga mama watu, alisema mkuu wa mkoa mahala flani , wemda ni kweli.Hizi imani ni ujinga mwingine nchini.
You can't be serious.Acheni mara moja kumloga mama watu, alisema mkuu wa mkoa mahala flani , wemda ni kweli.
Usinipangie cha kufanya. Nipo jf kitambo sana ,pumbavuRelax mkuu,mbona kama hukunielewa nilichoandika!
Makubwa haya mkuuKachagua kuwa kulukutabu 😂
Kuna tukio la kweli limetokea kwenye jamii za Nyani, Nyani ambae ni kiongozi (rais) alifanya kosa la kumla dada yake,Makubwa haya mkuu
Mtaongea yote hadi mnye october tuna tick mitano tena kwa MamaWanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
Uelewa wako mdogo sana mjinga wewe kuwa JF kitambo ndiyo nini sasaUsinipangie cha kufanya. Nipo jf kitambo sana ,pumbavu
Mhhh hasiraaaa!Uelewa wako mdogo sana mjinga wewe kuwa JF kitambo ndiyo nini sasa
Si rahisi kwa wachawi wepesi kuweza kumloga Mama. Anaweza akawa juu sana yao, labda Freemasons na Illuminat ndio watamweza.
KAMA ANGEKUWA NA AKILI NZURI ANGEMALIZIA TU URITHI WAKE AKATULIA NA SIYO KUGOMBEA MAANA AMEONYESHA LOW PERFOMANCE CAPACITY
Uelewa wako mdogo sana mjinga wewe kuwa JF kitambo ndiyo nini sasa
Halafu ujue pengine ni kweli.. Sana wivu sana ccmWanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
🤣🤣Kwenye kampeni kama CHADEMA kitashiriki uchaguzi huu, nawahakikishia anaenda kujinyea jukwaani! Kampeni hataiweza!