4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
- #81
Wanamloga sana , nimtake Mzee wangu Wasira aje akanushe, haiwezakani mama wa watu kila anapotoa hotuba anaharibuUKUTE YEYE NDIO FUNDI
YAMEMZIDIA
Wanamloga sana , nimtake Mzee wangu Wasira aje akanushe, haiwezakani mama wa watu kila anapotoa hotuba anaharibuUKUTE YEYE NDIO FUNDI
YAMEMZIDIA
Mpaka nafasi za teuzi zipinguzwe ndipo uchawa utaisha na makundi kuyeyukaWanadanganya viongoz wao kupelekea angko la vipngoz hao, ni culture yao
Atakuja mwingine watamsifu hivyo hivyo
Machawa wenda ndo yanaongoza kumloga mama wa watu, ili yateuliwe ndo maana yanapaniki kwa andiko hiliMpaka nafasi za teuzi zipinguzwe ndipo uchawa utaisha na makundi kuyeyuka
Adui mbaya wakaribuMachawa wenda ndo yanaongoza kumloga mama wa watu, ili yateuliwe ndo maana yanapaniki kwa andiko hili
Upo sahii sana mkuuAdui mbaya wakaribu
Ngoja zile kupe akina... Lucas mwashamba, choicevariable, tiatiaah, jingalao, na babu yao johnthebaptist wanakuja kutolea ufafanuzi hili!!!WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
Washindwe na kulegea Mungu anaenda kuwaibisha , waelewe Rais sio wa ccm bali ni wa tz wote , yanamloga ili iwejeila kwa CCM waliobaki, ukiacha wazee wa zamani, Dr Mwigulu Nchemba ndiyo mchawi kuliko wote!
Alf yupo karibu na Raisila kwa CCM waliobaki, ukiacha wazee wa zamani, Dr Mwigulu Nchemba ndiyo mchawi kuliko wote!
Nawasubiri mkuu , wenda ndo genge la uchawiNgoja zile kupe akina... Lucas mwashamba, choicevariable, tiatiaah, jingalao, na babu yao johnthebaptist wanakuja kutolea ufafanuzi hili!!!
Nilikua nasikia tu ,kumbe yapo sana mkuuCCM KUNA MACHAWI MENGI
Nilikua nasikia tu ,kumbe yapo sana mkuu
Uwezo wake umeishia hapo.WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo uharo gani amemwaga tena?
ChaiSi rahisi kwa wachawi wepesi kuweza kumloga Mama. Anaweza akawa juu sana yao, labda Freemasons na Illuminat ndio watamweza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama kulogwa karogwa na pombe kali