Huenda CCM inamloga ‘Mama wa Watu’, mshindwe na kulegea

Huenda CCM inamloga ‘Mama wa Watu’, mshindwe na kulegea

Mastamaindi wake alishasema hapa

 
Anajiroga mwenyewe ,, kwa tamaa ,, anaminya mafao ya wastaafu ambayo ni jasho na damu halali la watanzania,, utasema Kuna mtu anamroga.. mie hata baya likimpata ni sawa tu
 
Usinipangie nini nawaza pumbabu kwani sijui hawa ndugu zetu bado twawatafuta? Nipo jf kuanzia kipindi cha mwendazake na tulisema sana kama kutabili yajayo ,nikome
Soka
Kibao
Mdude
Lissu nyuma ya nondo
Na wengineo
Kichwa chako kitafanya kazi vizuri kweli?
Za
 
Usinipangie nini nawaza pumbabu kwani sijui hawa ndugu zetu bado twawatafuta? Nipo jf kuanzia kipindi cha mwendazake na tulisema sana kama kutabili yajayo ,nikome
Za
Relax mkuu,mbona kama hukunielewa nilichoandika!
 
WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Rejea mada tajwa hapo juu,

CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.

Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.

Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.

Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
Hata mimi nilijipa jina NewPage nikiamini mama ameleta matumaini na tutaenda vizuri katika kila tasnia, maendeleo na demokrasia lakini wapi. Mambo yamekuwa hovyoo mnooo. Yaani hovyo haswa! Ninahisi wachawi wanaweza wakazidisha kumroga mama yetu. Hatari sana hadi ninaona huruma!
 
Back
Top Bottom