4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
-
- #21
Maccm wanamloga sana mama wa watuNa watamloga Sana aisee
Wanamloga sana mama wa watu,
Wanajaribu kusingizia tu wachawi wa huko CCMHakuna kulogwa hapo, Samia uwezo wake mdogo tu.
Mbona hamsemi alikoharibu?Mkuu kwa mara ya kwanza nimejitolea msemea haiwezakani kila hotuba yake anaharibu ,maccm yamemloga mama wa watu
Pitia hotuba zake utajua naongea niniMbona hamsemi alikoharibu?
ZaSoka
Kibao
Mdude
Lissu nyuma ya nondo
Na wengineo
Kichwa chako kitafanya kazi vizuri kweli?
Relax mkuu,mbona kama hukunielewa nilichoandika!Usinipangie nini nawaza pumbabu kwani sijui hawa ndugu zetu bado twawatafuta? Nipo jf kuanzia kipindi cha mwendazake na tulisema sana kama kutabili yajayo ,nikome
Za
Hata mimi nilijipa jina NewPage nikiamini mama ameleta matumaini na tutaenda vizuri katika kila tasnia, maendeleo na demokrasia lakini wapi. Mambo yamekuwa hovyoo mnooo. Yaani hovyo haswa! Ninahisi wachawi wanaweza wakazidisha kumroga mama yetu. Hatari sana hadi ninaona huruma!WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
Aseee!
Hizi imani ni ujinga mwingine nchini.Maccm yamemroga mkuu
Kama tunaamini kulogana bado mpaka leo tatizo letu litakuwa kubwa kuliko CCM.Wanajaribu kusingizia tu wachawi wa huko CCM
Sahvi analazimisha kupendwa na watanganyika ambao hawamtaki. Atuachie Tanganyika yetu