Huenda CCM inamloga ‘Mama wa Watu’, mshindwe na kulegea

Mimi nilimwona mtu amechanganyikiwa anarusha mikono huku na kule.

Lakini mtu huyo hahusiani na mada hapo juu.
 
Hatimaye damu za watu zimeanza kufanya kazi
 
Makubwa haya mkuu
Kuna tukio la kweli limetokea kwenye jamii za Nyani, Nyani ambae ni kiongozi (rais) alifanya kosa la kumla dada yake,

Ikapelekea kuanguka kwa utawala wake, akajiuzulu.

Sasa kama nyani tu waweza .... wewe
 
Mtaongea yote hadi mnye october tuna tick mitano tena kwa Mama
 
Halafu ujue pengine ni kweli.. Sana wivu sana ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…