saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
We kinyago cha mpapure akili yako ndiyo imeharibika huwezi kumwelewa Rais wetu.WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
😂😂😂😂😂Kurjuan hiyo imeshachanganya na bado kudadadadeq
.🤚Hatimaye damu za watu zimeanza kufanya kazi
Upo na akili sawa mkuu ?We kinyago cha mpapure akili yako ndiyo imeharibika huwezi kumwelewa Rais wetu.
Mkuu maccm yanamloga mama wa watu alafu hayataki kuambiwa ukweli, yule mkuu wa mkoa alisema live tukachulia poa, wenda ni kweliHalafu ujue pengine ni kweli.. Sana wivu sana ccm
Nashukuru kwa matusi yako mkuu ,ipo siku utabatizwa kwa maji ya moto ,tunza hiiUelewa wako mdogo sana mjinga wewe kuwa JF kitambo ndiyo nini sasa
Yanamloga uyu mama wa watuKAMA ANGEKUWA NA AKILI NZURI ANGEMALIZIA TU URITHI WAKE AKATULIA NA SIYO KUGOMBEA MAANA AMEONYESHA LOW PERFOMANCE CAPACITY
Namwelewesha hataki kuelewaMhhh hasiraaaa!
Kiko kikundi cha kifisadi kikundi cha wapigaji cha Akina Amos makala Bulembo na ibirisi chawaccm wenzao , hicho kikundi humchochea mama kwa kumroga sana afanye vitu vya hovyo kisha wakiona chadema wamewasha moto wanaenda kumwambia atoe pesa za kuzima joto la siasa kuwahujumu kuwadhoofisha chadema mama anawapa pesa wanagawana kisha zingine anapewa mbowe na chauma ubwabwaWanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
Sasa kwa nini wanamroga kwa rejareja I see?. Hakuna hata wa jumla jumla?WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu yeyote, mkifanyacho sio Wakuu.
Haiwezakani kila mahala kwenye hotuba zake anaharibu, acheni hii tabia nyie CCM.
Kuna mkuu wa Mkoa alisema watu wanamroga huyu mama wa watu nikachukulia poa, huenda kweli alimanisha.
Mama wa watu mnamuumiza sana nyie CCM. Komeni mara moja!!
Unamwelewesha nani , acheni kumloga mama wa watuNamwelewesha hataki kuelewa
Pia kumchuuzaYanamloga uyu mama wa watu
Huu ujumbe kama kweli mama wa watu aupitie mapema wenda akajua pa kuanzia ,Kiko kikundi cha kifisadi kikundi cha wapigaji cha Akina Amos makala Bulembo na ibirisi chawaccm wenzao , hicho kikundi humchochea mama kwa kumroga sana afanye vitu vya hovyo kisha wakiona chadema wamewasha moto wanaenda kumwambia atoe pesa za kuzima joto la siasa kuwahujumu kuwadhoofisha chadema mama anawapa pesa wanagawana kisha zingine anapewa mbowe na chauma ubwabwa
Wanamchuuza ili aharibu zaidi kisha wapat e sababu ya kumwengua kwenye uchaguzi wa RaisUnamwelewesha nani , acheni kumloga mama wa watu
Mkuu nimekuelewa vizuri, kesho ikatokea hayupo madarakani ,ni hawa wachawi wataanza kumbagazaWanamchuuza ili aharibu zaidi kisha wapat e sababu ya kumwengua kwenye uchaguzi wa Rais
Muulize mmoja wa wakuu wa mkoa ,wenda anajua zaidi.Sasa kwa nini wanamroga kwa rejareja I see?. Hakuna hata wa jumla jumla?
Watu waliomzunguka Wengi ni WanafkiWanamchuuza ili aharibu zaidi kisha wapat e sababu ya kumwengua kwenye uchaguzi wa Rais