Huenda CCM inamloga ‘Mama wa Watu’, mshindwe na kulegea

Wanadanganya viongoz wao kupelekea angko la vipngoz hao, ni culture yao

Atakuja mwingine watamsifu hivyo hivyo
Mpaka nafasi za teuzi zipinguzwe ndipo uchawa utaisha na makundi kuyeyuka
 
Mpaka nafasi za teuzi zipinguzwe ndipo uchawa utaisha na makundi kuyeyuka
Machawa wenda ndo yanaongoza kumloga mama wa watu, ili yateuliwe ndo maana yanapaniki kwa andiko hili
 
Halafu yule Mrema wa CHAUMA na AMOSI MAKALA ni kweli kabisa sura zao zimekaa kichawi kabisa!
 
ila kwa CCM waliobaki, ukiacha wazee wa zamani, Dr Mwigulu Nchemba ndiyo mchawi kuliko wote!
 
Ngoja zile kupe akina... Lucas mwashamba, choicevariable, tiatiaah, jingalao, na babu yao johnthebaptist wanakuja kutolea ufafanuzi hili!!!
 
ila kwa CCM waliobaki, ukiacha wazee wa zamani, Dr Mwigulu Nchemba ndiyo mchawi kuliko wote!
Washindwe na kulegea Mungu anaenda kuwaibisha , waelewe Rais sio wa ccm bali ni wa tz wote , yanamloga ili iweje
 
CCM KUNA MACHAWI MENGI
🤔Wasije wakaniskia
Kuna mengn yashaanza
 
Uwezo wake umeishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…