Kula rambirambi?CCM imejiandaa kwa miaka 100 ijayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula rambirambi?CCM imejiandaa kwa miaka 100 ijayo
Naangalia mkutano wa jpm kawe, nafikiri upinzani hamjaamka toka usingizi wa pono! Kwa kuanza tu sidhani kama dar mna chenu...Wanajamvi Salam,
Zikiwa zimebaki siku kumi na nne (14) tu kwenda kushuhudia historia ikiandikwa Tanzania, kwa ama wananchi kuendelea kuchagua ccm ambayo kiukweli imeshindwa kutatua matatizo yanayowakabili watanzania walio wengi au wananchi kwenda kuchagua Uhuru Haki na Maendeleo yao kwa kufanya mabadiliko ya uongozi hasa katika nafasi nyeti ya uraisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Kampeni za vyama vyote shindani zinaendelea na huku wadadisi na wachambuzi wa kisiasa wakipima upepo wa kisiasa hasa kwa kuangalia Sera za vyama vyote na idadi ya watu wanaohudhuria katika mikutano ya kampeni kwa vyama tofauti. Hali imekuwa si shwari kwa chama tawala, imekuwa kana kwamba wanapumulia mashine. Kampeni zao zimekuwa zikiratibiwa kwa kiasi kikubwa nje ya chama, hapa nikimaanisha kwa kutumia vyombo vya Dora pamoja na wasanii. Huku upande wa chama kikuu Cha upinzani CHADEMA Mambo ni bul bul. Hali hii imekuja baada ya ccm kukosea hapa
1. Wamefanya siasa kwa miaka mitano peke yao, hivyo ni Kama vile wananchi wamewachoka, wananchi wanataka kusikia mawazo mapya. Wanataka kusikia kile ambacho walikuwa wanafichwa kuambiwa kwa miaka mitano huku ccm wakisema peke yao. Ndiyo maana unaona kwenye mikutano ya chama kikuu Cha upinzani wananchi wanajazana pasi na aina yoyote ya ushawishi wa wasanii. Kwenye hili ccm imewakinaisha wananchi hivyo wanataka mawazo mapya.
2. Kizazi kilichokuwa ccm kufa na kuzikana kinazidi kuisha. Wale wazee waliokuwa 60+ mwaka 2015 wakati Magufuli anaingia madarakani wamezidi kuisha, hivyo kuja damu mpya ambayo bado haioni hayo maendeleo ambayo ccm wanajivuna kuwaletea wananchi zaidi ya maumivu makali kila uchwao.
3. Ccm wanecheza karata mbaya kwa Bernard Kamiliud Membe. Najua hii ndiyo ilikuwa kete pekee ya ccm kwenye uchaguzi huu. Maandalizi makubwa waliyafanya hapa kwa kumuweka Membe kuwa Kama kibaraka kwa wapinzani, lakini CHADEMA waliliona hilo wakaruka kihunzi hicho. Rejea maneno ya Membe baada ya kikao maalumu Cha kuhojiwa na kamati ya nidhamu ya chama. " Tumeongea Mambo mazuri kwa mustakabari wa taifa letu na chama chetu." Lakini pia wanaccm waliokuwa wakimshinikiza Membe kwenda upinzani walikuwa ni wengi kuliko upinzani wenyewe. Hii maana yake walijipanga kwenye hili.
4. Magufuli amechagua timu mbovu ya kampeni ambayo haina uzoefu na masuala haya ya pilika pilika. Watu wengi ikiwemo Mimi, tulitarajia kwenye timu ya kampeni ya ccm mwaka huu wangeweka full mkoko. Pale Kuna Nape, Makamba, Mzee Mangula pamoja na viongozi wengine wabobezi ndanibya chama. Lakini uwepo wa watu Kama Polepole na Bashiru kumefanya timu ya kampeni kupwaya sana ndani ya CCM. Angalia hata upangaji wa ratiba tu unawacost.
Sioni wapi CCM watashinda iwapo uchaguzi huu utafanywa kwa kufuata misingi ya Sheria ambazo wao wenyewe ndiyo wameziweka. Iwapo tume watakuwa tayari kumtangaza hata wasiyempenda, sioni CCM watashinda vipi.
Asalam Alleykum
Mkuu mbona una gubu?Mwambie na Dada ako mkapingie kura huyo beberu wako
Yaani jamaa kaandika nimemzarau sana Yaani huyo DahKwahiyo una maana hata jiwe aliaandaliwa kuwa Rais miaka mitano nyuma?
Kumbuka alisema yeye alikuwa anajaribu tu lakini akasukumiziwa ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
CCM imejiandaa kwa miaka 100 ijayo
Kitu pekee ninacho kipenda CCM wana mikakati ya kudumu na endelevu.
Mfano: kabla hata rais kutoka madarakani huwa kuna kijana anaandaliwa zaidi ya miaka mitano a kuwa mgombea wa urais miaka ijayo.
Na hii ndio hufanya CCM kuwa stable kila Mwaka.
Lakini hili kimbilio la wapotevu "CHADEMA" hawajawahi kuwa na long plan yeyote ili kusaidia chama chao.
Bali wao hujikuta tu anayetaka kuwa mgombea wao wa urais anajichagua tu kama mnaada vile.
Angali mh. Lowassa katoka zake CCM kaenda mnadani CHADEMA akasema nataka kuwa rais WAKAMKUBALIA..akakosa urais akaamua kusepa zake "Wakabaki midomo wazi" hahaha [emoji23]
Mungu HadhihakiwiWanajamvi Salam,
Zikiwa zimebaki siku kumi na nne (14) tu kwenda kushuhudia historia ikiandikwa Tanzania, kwa ama wananchi kuendelea kuchagua ccm ambayo kiukweli imeshindwa kutatua matatizo yanayowakabili watanzania walio wengi au wananchi kwenda kuchagua Uhuru Haki na Maendeleo yao kwa kufanya mabadiliko ya uongozi hasa katika nafasi nyeti ya uraisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Kampeni za vyama vyote shindani zinaendelea na huku wadadisi na wachambuzi wa kisiasa wakipima upepo wa kisiasa hasa kwa kuangalia Sera za vyama vyote na idadi ya watu wanaohudhuria katika mikutano ya kampeni kwa vyama tofauti. Hali imekuwa si shwari kwa chama tawala, imekuwa kana kwamba wanapumulia mashine. Kampeni zao zimekuwa zikiratibiwa kwa kiasi kikubwa nje ya chama, hapa nikimaanisha kwa kutumia vyombo vya Dora pamoja na wasanii. Huku upande wa chama kikuu Cha upinzani CHADEMA Mambo ni bul bul. Hali hii imekuja baada ya ccm kukosea hapa
1. Wamefanya siasa kwa miaka mitano peke yao, hivyo ni Kama vile wananchi wamewachoka, wananchi wanataka kusikia mawazo mapya. Wanataka kusikia kile ambacho walikuwa wanafichwa kuambiwa kwa miaka mitano huku ccm wakisema peke yao. Ndiyo maana unaona kwenye mikutano ya chama kikuu Cha upinzani wananchi wanajazana pasi na aina yoyote ya ushawishi wa wasanii. Kwenye hili ccm imewakinaisha wananchi hivyo wanataka mawazo mapya.
2. Kizazi kilichokuwa ccm kufa na kuzikana kinazidi kuisha. Wale wazee waliokuwa 60+ mwaka 2015 wakati Magufuli anaingia madarakani wamezidi kuisha, hivyo kuja damu mpya ambayo bado haioni hayo maendeleo ambayo ccm wanajivuna kuwaletea wananchi zaidi ya maumivu makali kila uchwao.
3. Ccm wanecheza karata mbaya kwa Bernard Kamiliud Membe. Najua hii ndiyo ilikuwa kete pekee ya ccm kwenye uchaguzi huu. Maandalizi makubwa waliyafanya hapa kwa kumuweka Membe kuwa Kama kibaraka kwa wapinzani, lakini CHADEMA waliliona hilo wakaruka kihunzi hicho. Rejea maneno ya Membe baada ya kikao maalumu Cha kuhojiwa na kamati ya nidhamu ya chama. " Tumeongea Mambo mazuri kwa mustakabari wa taifa letu na chama chetu." Lakini pia wanaccm waliokuwa wakimshinikiza Membe kwenda upinzani walikuwa ni wengi kuliko upinzani wenyewe. Hii maana yake walijipanga kwenye hili.
4. Magufuli amechagua timu mbovu ya kampeni ambayo haina uzoefu na masuala haya ya pilika pilika. Watu wengi ikiwemo Mimi, tulitarajia kwenye timu ya kampeni ya ccm mwaka huu wangeweka full mkoko. Pale Kuna Nape, Makamba, Mzee Mangula pamoja na viongozi wengine wabobezi ndanibya chama. Lakini uwepo wa watu Kama Polepole na Bashiru kumefanya timu ya kampeni kupwaya sana ndani ya CCM. Angalia hata upangaji wa ratiba tu unawacost.
Sioni wapi CCM watashinda iwapo uchaguzi huu utafanywa kwa kufuata misingi ya Sheria ambazo wao wenyewe ndiyo wameziweka. Iwapo tume watakuwa tayari kumtangaza hata wasiyempenda, sioni CCM watashinda vipi.
Asalam Alleykum
Kajifunze kwanza kujenga hoja,!! Mbavu kabsa
😂😂😂🙊Kwahiyo una maana hata jiwe aliaandaliwa kuwa Rais miaka mitano nyuma?
Kumbuka alisema yeye alikuwa anajaribu tu lakini akasukumiziwa ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Bendera ya Simba rangi nyekundu inawakilisha mauaji?????CCM imejiandaa kwa miaka 100 ijayo
Mkuu, succession plan ingekuwepo kusingekuwa na mivutano kiasi kile.Kitu pekee ninacho kipenda CCM wana mikakati ya kudumu na endelevu.
Mfano: kabla hata rais kutoka madarakani huwa kuna kijana anaandaliwa zaidi ya miaka mitano a kuwa mgombea wa urais miaka ijayo.
Na hii ndio hufanya CCM kuwa stable kila Mwaka.
Lakini hili kimbilio la wapotevu "CHADEMA" hawajawahi kuwa na long plan yeyote ili kusaidia chama chao.
Bali wao hujikuta tu anayetaka kuwa mgombea wao wa urais anajichagua tu kama mnaada vile.
Angali mh. Lowassa katoka zake CCM kaenda mnadani CHADEMA akasema nataka kuwa rais WAKAMKUBALIA..akakosa urais akaamua kusepa zake "Wakabaki midomo wazi" hahaha 😂
Walifikiri JK, BWM, watangulizi wake walikuwa mapoyoyo, kwa kujaribu kuwa na staha na uvumilivu na lugha ya kubembeleza wapiga kura, lugha isiyo na vitisho, wala kejeli wala ubaguzi wa wazi.Hiyo ndio sababu ya Visa vyote hivyo,Sasa msichokijua ni kuwa mnazidi kuwaudhi wanaowawezesha nyie Kula,au wapiga kura.
Wanajidanganyaga Sana Hawa.Kwahiyo una maana hata jiwe aliaandaliwa kuwa Rais miaka mitano nyuma?
Kumbuka alisema yeye alikuwa anajaribu tu lakini akasukumiziwa ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kila 'SUB' wanayofanya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali.Kitu pekee ninacho kipenda CCM wana mikakati ya kudumu na endelevu.
Mfano: kabla hata rais kutoka madarakani huwa kuna kijana anaandaliwa zaidi ya miaka mitano a kuwa mgombea wa urais miaka ijayo.
Na hii ndio hufanya CCM kuwa stable kila Mwaka.
Lakini hili kimbilio la wapotevu "CHADEMA" hawajawahi kuwa na long plan yeyote ili kusaidia chama chao.
Bali wao hujikuta tu anayetaka kuwa mgombea wao wa urais anajichagua tu kama mnaada vile.
Angali mh. Lowassa katoka zake CCM kaenda mnadani CHADEMA akasema nataka kuwa rais WAKAMKUBALIA..akakosa urais akaamua kusepa zake "Wakabaki midomo wazi" hahaha [emoji23]
Mchezaji anaingia kutoka "SUB" lakini baada Mechi kumalizika anaacha kabisa kuitumikia timu.😂Kila 'SUB' wanayofanya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali.
Majina huumba.CCM imejiandaa kwa miaka 100 ijayo
Una hakika kama Magufuli aliandaliwa na ccm?Kitu pekee ninacho kipenda CCM wana mikakati ya kudumu na endelevu.