Uchaguzi 2020 Huenda CCM na Dkt. Magufuli hawakujiandaa kwa upinzani huu

Uchaguzi 2020 Huenda CCM na Dkt. Magufuli hawakujiandaa kwa upinzani huu

Hali mbaya, Gwajima anaongea kwa sauti ya kinyonge kama hajala wiki mbili, kazi wanayo.
Gwajima simwelewi kabisa, huyu jamaa anayetangaza kuwa anao uwezo wa kufanya miujiza, hata kufufua wafu anashindwaje kupata kura za miujiza????.... Atumie neno lilomuweka mjini miaka yote aache uzembe.
 
ccm haiwezi kukabidhi madaraka kiurahisi rahisi namna hiyo

kitakachofanyika Tanzania kwenye mabadiliko ya uongozi kitafanana na yaliyotokea Kenya

Anakufa baba anazaliwa mwana

ccm wakiona wamechokwa kwa asilimia zaidi ya 60%, kitatengenezwa chama cha upinzani chenye nguvu zaidi ya chama chochote nchini na kukabidhiwa madaraka

Watabakia ccm walewale ila jina tu ndio litakuwa limebadilika
Jidanganye,sio rahisi kihivo,
 
Kitu pekee ninacho kipenda CCM wana mikakati ya kudumu na endelevu.

Mfano: kabla hata rais kutoka madarakani huwa kuna kijana anaandaliwa zaidi ya miaka mitano a kuwa mgombea wa urais miaka ijayo.
Na hii ndio hufanya CCM kuwa stable kila Mwaka.

Lakini hili kimbilio la wapotevu "CHADEMA" hawajawahi kuwa na long plan yeyote ili kusaidia chama chao.
Bali wao hujikuta tu anayetaka kuwa mgombea wao wa urais anajichagua tu kama mnaada vile.

Angali mh. Lowassa katoka zake CCM kaenda mnadani CHADEMA akasema nataka kuwa rais WAKAMKUBALIA..akakosa urais akaamua kusepa zake "Wakabaki midomo wazi" hahaha [emoji23]
Pumba.. kwahio magu aliandaliwa au alisukumizwa
 
Gwajima simwelewi kabisa, huyu jamaa anayetangaza kuwa anao uwezo wa kufanya miujiza, hata kufufua wafu anashindwaje kupata kura za miujiza????.... Atumie neno lilomuweka mjini miaka yote aache uzembe.
Anakosaje nguvu za kuzuia mafuriko jimbo lake la ugombea?
 
Back
Top Bottom