Uchaguzi 2020 Huenda CCM na Dkt. Magufuli hawakujiandaa kwa upinzani huu

Umeongea mengi mazuri sana ila la kuhusu Membe umekosea. Membe alitaka kweli kumng'oa Jiwe kupitia humohumo ndani ya CCM, sama bahati mbaya Jiwe alisaidiwa na usalama kuzima higo attempt la sivyo walikuwa wameshamuweka kwenye corner.

CCM wangekuwa na akili wasingemsumbua Membe kwa kumfungia vyazo vyake vya pesa ili azitumie pesa hizo kupiga kampeni, Kama angepiga kampeni huenda angegawa kura za Lissu hasa mikoa ya kusini.

But Membe ni mtu mwenye akili sana, na tangu alipoingia upinzani alisema wazi kuwa yuko tayari kuungana na yeyote mwenye nguvu ili kumng'oa Jiwe. It seems Membe ameamua kwa dhati kumuunga mkono Lissu, na mbinu aliyotumia ni kuacha kufanya kampeni ili kumsaidia Lissu.

Kama Membe angekuwa ni CCM, basi CCM wangemuwezesha kwa kumpa hela ya kampeni ili kugawa kura za Lissu
 
Subirini kunyolewa October 28, ni JPM TENA MIAKA MITANO TENAAA.

October 28 kura zote kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
tuondolee utopolo wako hapa.
 
Kigogo anasema, msione kimya kuna timu ya kina nape makamba junior na wengine, wapo mafichoni dodoma wakiset mitambo ili kuchakachua matokeo kabla hayajafika tume
 
CCM walitumia miaka mitano kununua wabunge na madiwani wenye njaa wa upinzani...wakajenga chuki ndani ya chama chao kati ya wahamiaji na wafia chama...wahamiaji wakafika na kuanza kula kuku huku wafia chama wakilalia dona bamia.

Wakafikiri kazi imeisha sasa kimbuga hiki kinamuondoa mtu magogoni...
 
Your browser is not able to display this video.
 
Jakaya alikuwa anatumbukiza kipande cha Mkate kwenye banda waparulane wao kwa wao

mf. Alihakikisha Mbowe hakosi kupata kandarasi ya ubebaji wa vifurushi pale KIA, hakosi matangazo kwny Tanzania Daima lake, halipi kodi ya NHC pale bilicanus, Zitto akawa mwenykt wa kudumu wa PAC n.k

, Wazalendo walipoingia wakawa wanamtoa kuku mmoja wanampa mkate ale, matokeo yake waliobaki wakawa wanazidi kuwa wamoja kwa kuwa njaa inawaunganisha
 
Sasa mbona Magufuli anaongea ovyo kama si rais mpaka leo?
 
Hawakujua...hawakujua....FidQ 2010
 
Kama magu ndio kaandaliwa hao wengine ndani ya hicho cham sijui wana sifa gani?
 
Nimesoma mada yako lakini nashindwa kukuelewa. Mara umesema imechoka kwa kuwashikilia wakongwe, huku vijana wakiachwa nyuma. Wakati huo huo unalaumu timu ya wabobevu wake na Makamba na Mangula kuachwa, lakini tena unawebeza vijana wake na Bashiru na Polepole. Au wewe ni bora kuandika nikiwa namaana wewe ni kuponda bila kuangalia unajiponda.

Mimi nakubaliana na wewe kuwa CCM kabla ya Magufuli ilikuwa imeshindwa kutatua matatizo ya watu na ilijikita katika ufisadi na wizi. CCM sasa hivi wamejitahidi kuondoa ufisadi na wizi, lakini tukumbuke kuwa hiyo siyo kazi yenye mafanikio ya siku moja. Mimi naweza kusema bila kuongopa wala kukosea kuwa wizi na ufisadi hautaweza kufutwa Tanzania au nchi yopyopte duniani. Tunachojitahidi ni kuupunguza kufika kiwango kidogo. Anayedhani wizi na ufisadi utafutwa anaota ndoto ya mchana. Kumbuka Uarabuni wezi na mafisadi hukatwa mikono au kunyongwa lakini bado hayo yapo. Huko (Ulaya/USA) tunakodhani ufisadi na wizi hakuna, lakini ukweli ni kuwa upo. Lengo ni kufuta, lakini ipo kazi. Upinzani nao nina hakika na imani wakipata uongozi watajitahidi kuwa na lengo la kuutokomeza ufisadi na wizi, lakini hilo litabaki kuwa lengo, ukweli ni kuwa hao ndiyo watakaokuwa na njaa kali na kwa hiyo watashambulia mali na rasilimali yetu kama fisi anayeshambulia mzoga. Mtu kama Mbowe ambaye anaimaliza ruzuku ya CHADEMA kwa ujanjaujanja umkabithi sehemu yenye mwanya kuiba eti aziache.
 
Siongezi neno
 
unalalamika , unalia au unabisha ?
 
Wadada, wamama na mashangazi weusi wote, tunajambo letu hiyo tarehe!!!
Tuliosimgiziwa vyeti feki, wanafunzi 10000 tuliofukuziwa kwenye giza usku UDOM na kuitwa vilaza tuna jambo letu 0October 28 .Tuliopigwa na polisi, tuliopotezewa ndugu zetu MKIRu tumejiandaa kupambana na wezi wa kura come 28!
 
Walijiandaa kuuwa upinzani matokeo yake wanakufa wao trh 28 kwenye sanduku.
ccm haiwezi kukabidhi madaraka kiurahisi rahisi namna hiyo

kitakachofanyika Tanzania kwenye mabadiliko ya uongozi kitafanana na yaliyotokea Kenya

Anakufa baba anazaliwa mwana

ccm wakiona wamechokwa kwa asilimia zaidi ya 60%, kitatengenezwa chama cha upinzani chenye nguvu zaidi ya chama chochote nchini na kukabidhiwa madaraka

Watabakia ccm walewale ila jina tu ndio litakuwa limebadilika
 
Kama magu ndio kaandaliwa hao wengine ndani ya hicho cham sijui wana sifa gani?
Katibu Mkuu wa CCM mwenyewe kasema kuna tatizo CCM vijana hawaandaliwi.

Rejea Bashiru alivyomzodoa Makonda baada ya Makonda kuharibu hotuba ya tazia kwa Marehemu Reginald Mengi.

Halafu anakuja kifulambute anakwambia CCM inaandaa viongozi.

Ina maana huyu anayesemq hilo anaijua CCM kuliko Katibu Mkuu wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ