Gwajima simwelewi kabisa, huyu jamaa anayetangaza kuwa anao uwezo wa kufanya miujiza, hata kufufua wafu anashindwaje kupata kura za miujiza????.... Atumie neno lilomuweka mjini miaka yote aache uzembe.Hali mbaya, Gwajima anaongea kwa sauti ya kinyonge kama hajala wiki mbili, kazi wanayo.
Jidanganye,sio rahisi kihivo,ccm haiwezi kukabidhi madaraka kiurahisi rahisi namna hiyo
kitakachofanyika Tanzania kwenye mabadiliko ya uongozi kitafanana na yaliyotokea Kenya
Anakufa baba anazaliwa mwana
ccm wakiona wamechokwa kwa asilimia zaidi ya 60%, kitatengenezwa chama cha upinzani chenye nguvu zaidi ya chama chochote nchini na kukabidhiwa madaraka
Watabakia ccm walewale ila jina tu ndio litakuwa limebadilika
Pumba.. kwahio magu aliandaliwa au alisukumizwaKitu pekee ninacho kipenda CCM wana mikakati ya kudumu na endelevu.
Mfano: kabla hata rais kutoka madarakani huwa kuna kijana anaandaliwa zaidi ya miaka mitano a kuwa mgombea wa urais miaka ijayo.
Na hii ndio hufanya CCM kuwa stable kila Mwaka.
Lakini hili kimbilio la wapotevu "CHADEMA" hawajawahi kuwa na long plan yeyote ili kusaidia chama chao.
Bali wao hujikuta tu anayetaka kuwa mgombea wao wa urais anajichagua tu kama mnaada vile.
Angali mh. Lowassa katoka zake CCM kaenda mnadani CHADEMA akasema nataka kuwa rais WAKAMKUBALIA..akakosa urais akaamua kusepa zake "Wakabaki midomo wazi" hahaha [emoji23]
Utanuna safari hii.Ccm 100 tena
Anakosaje nguvu za kuzuia mafuriko jimbo lake la ugombea?Gwajima simwelewi kabisa, huyu jamaa anayetangaza kuwa anao uwezo wa kufanya miujiza, hata kufufua wafu anashindwaje kupata kura za miujiza????.... Atumie neno lilomuweka mjini miaka yote aache uzembe.