Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

Mwenzetu wewe umefika lini huko 60 na kurudi kutupa story za kutokuweza acha?

Na kwanini unahakika sana kwamba Sex ni kipengele muhimu kwa Christina Kama ilivyo kwako?

Kwamba catholic sisters wote ni Virgins kwa asilimia 100?

Sex was not meant for enjoyment rather for “re-creation. Read it again.
 
Yupi aliyetambaa hapo sasa, Harmonizer au huyo queen sheba?
Nataka nifahamu sawa sawa ili niongeze credit za kupondea.
Imagine you are also just a mere creature Kama huyo Christina…. Hivi ungepewa power ya kuwa supervisor wa hata ushuzi tu ingekuwaje?!
 
Bora alipoulizwa angenyamaza tu aseme hapendi kuongelea mambo yake publicy,
Why kumfunga mtu mzima mdomo?!

Amesema Ukweli wake, kwanini watu wanachukia?

Suddenly watu wote humu wamegeuka Malaikah watakatifu huku Christina akiwa shetani kwa kunena yaliyo moyoni mwake?!

I’m sure the hypocrisy of us two legged creatures amazes even Lucifer!
 
Mwisho wake mmbaya..!
Hongereni watenda mema wenye mwisho mzuri.
 
Yapo mambo ni magumu kuyaelewa kwa sasa
 
Hujielewi yule kashakuwa sexually active, huwezi kuacha ng'o usidanganywe hata watawa wasioa ni wale ambao hawana historia kabisa ya ndoa wala kushiriki ngono.

Waliowahi kushiriki lazima waendelee kuna siri kubwa hata za kibailojia, wanasayansi wakubwa hawakushiriki ngono kabisa ,ukijaribu basi kuacha sio rahisi.

Catholic sisters ambao walishawahi kushiriki ngono ,basi wanaendelea kimya kimya fuatilia ujue tetesi zao ..

Single parents wote hata awe tajiri kiwango cha Musk ,wanaendelea kushiriki ngono ..


Usidanganywe na ujinga wa watu wachache.
 
Sasa Mondi alioweza kumla Zari hadi
Kama mondi atakuwa analila hilo limshangazi, basi nitaamini kabisa kuwa ni kweli hawa wanamziki wa kizazi kipya kwao maadili ni msamiati uliokosa mwalimu wa kuufasiri.
Ni samaki wasiopisha chambo. 🤭🤭
kumzalisha watoto wawili atashindwa vipi kwa Christine. Wewe unadhani shusho ana uspesho gani wa kukataa kuliwa na kijana aliefanikiwa na maarufu kuliko 90% ya vijana wa hovyo hapa mjini. Hakuna mwanamke atakukataa ukiwa na hela na fame. Hayupooo nchini!!!
 
Ujue nini?
Hayo unayoyasema ni sawa, mwenzako nilistick kwenye age!
Lakini napo umepagusa.
 
Hili hitimisho lako linakufaa zaidi wewe.


Hii statement yako yote imetokana na hisia binafsi plus story za vijiweni.

Otherwise, provide one scientific fact inayothibitisha haya madai yako kwamba binaadam wote ambao walishawahi kuwa sexually active hawana maamuzi ya kuacha kushiriki sex mpaka umauti wao, Please.

Eti waliowahi kushiriki “LAZIMA waendelee kushiriki! Una fikra za ajabu sana zinazoendeshwa na hisia za mwili zaidi ya uhalisia.

You’re overrating Sex while minimizing the human capacity to take control of their emotions & body reactions. And that’s lame of you.
 
Kasome production ,sex ina addiction kuzidi hata pombd na sigara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…