Ifike kipindi mtumie akili jmani
unataka kusema Mzee wetu bw.Adamu alijipa mimba akamzaa Hawa? hebu muwe na adabu kwa Mzee wetu Adamu halafu muwe mnaelewa tafsida za lugha sio mnaropoka tu Adam aliposema "she is flesh of my flesh bones of my bones hakumaanisha kumzaa bi Hawa.
Hii ilimaanisha kuWa na ukaribu wa mahusiano sana kati ya Adamu na Hawa kama nyie mnapo ambiwa kanisani ktk harusi zenu nendeni mkawe mwilimoja. haimaanishi mutaunganisha mili yenu uwe moja, baili muwe na mahusino ya karibu mno.
halafu kusema bi Hawa ni biological daughter of Adam hayo ni matusi kwa Adamu hebu muwe na Adabu kwa Wazee wetu hawa.
MAONI YANGU
Hizo mada ulizo acha akiba usiendelee nazo huna chchote cha maana utakacho elezea kufuatana na mtizamo wa hii mada ya kwamza. pumzika tafuta mada nyepesi nyepesi za mitaani
hizo za UUMBAJI WA MUNGU NI GIZA NENE SAAAAAANA KWAKO