Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Habari wakuu? Kama mjuavyo jukwaa letu si la videos Sana Bali maandishi Sana au kusoma Sana nahicho ndicho kilicho nivutia Sana hapa jf
Sasa Basi katika pita pita zangu hapa ndani nilikutana na kitu kinaitwa DARK DAYS 17/03/20...
Aisee kitu kime tulia Sana na naona huenda ukawa ndiyo Uzi Bora zaidi kuwai kuandikwa jf Uzi ambao ukiusoma utaelewa mengi kuhusu siasa zetu na inchi yetu kwa ujumla
Sjui member gani aliandika ile kitu ila anastahili pongezi kwa kazi kubwa aliyo ifanya🙏🙏🙏