Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Mbona hatubishani kijana.Me Nisha isoma ila nilitaka nijue umeielewa vipi ili tisibishane sana
Ule uzi nimeanza nao toka mwanzo, na sio mara ya kwanza kukutana na story za vile.
Hata mimi first time nakutana na story za namna ile nilikua too excited, nikimuona mwandishi ni genius, mtu makini, anajua mambo kila kitu kwa angle hiyo, ni mbobezi wa field hiyo, ni jasusi na majina mengi ya kumsifu.
Na hapo ni almost 10 yrs back.
So mpaka leo nishakutana na story na vitabu kama asimuliavyo huyo dada.
Mkuu huwa unasoma riwaya??