secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha 😂, dah sijui ana pepo Gani huyuHuko Uganda atakazwa na kibabu mseveni
Hahaha 😂, dah sijui ana pepo Gani huyuHuko Uganda atakazwa na kibabu mseveni
Anapenda propaganda huyo, akitulia akafukunyua nyuzi za zamani bosi wake atamfukuza kazi kabisa.Joined 2022, sio mbaya tutaheshimu maoni yako!
Ninjia ya mkato Kama zilivyo njia zingine za mikato 😄😄Hivi wewe nyeto unaichukuliaje?
Ndugu yangu unalipenda Sana neno propagandaAnapenda propaganda huyo, akitulia akafukunyua nyuzi za zamani bosi wake atamfukuza kazi kabisa.
Inchi hai tabiliki hii mkuu huenda wame mndugai 🥴🥴Amerudi juzi kaweka vitu nje ya matarajio ya wasomaji na tofauti na ahadi ya kuweka mambo mazito Dec 2025.
Inchi hai tabiliki hii mkuu huenda wame mndugai 🥴🥴Amerudi juzi kaweka vitu nje ya matarajio ya wasomaji na tofauti na ahadi ya kuweka mambo mazito Dec 2025.
Nafikiri Kuna Jambo haujalielewa bado Kama sio kulijua kabisana wewe umeshajaa kwenye mfumo😁😁
Ni uzi wa propaganda, hata mtunzi huwaasa wasomaji wake kua hizo ni story tu.Ndugu yangu unalipenda Sana neno propaganda
wewe si ndo ulisema Hadi kukamatwa kwa lissu hakupo ni propaganda 😄😄
Inakufikisha mapema 😂Ninjia ya mkato Kama zilivyo njia zingine za mikato 😄😄
Badirika mkuu acha utoto basiiInakufikisha mapema 😂
Kwahiyo nawewe unaamini hivyo kwamba ni story tuu au sivyo?Ni uzi wa propaganda, hata mtunzi huwaasa wasomaji wake kua hizo ni story tu.
Ume wai tumia kachasu mkuu?Ni uzi wa propaganda, hata mtunzi huwaasa wasomaji wake kua hizo ni story tu.
Ombi lako linashughulikiwa mkuu 😎.Badirika mkuu acha utoto basii
Jambo jema🙏🙏Ombi lako linashughulikiwa mkuu 😎.
🙏Jambo jema🙏🙏
Sijui una maanisha nini kamandaUme wai tumia kachasu mkuu?
Ni story kwani ww unaonaje mkuu? Au ni kweli kua msimuliaji anaweza kua hadi ndani ya mawazo ya watu, kuwepo two places at the same time??Kwahiyo nawewe unaamini hivyo kwamba ni story tuu au sivyo?
Story yenyewe kwani Ina zungumzia Nini mkuu?Ni story kwani ww unaonaje mkuu? Au ni kweli kua msimuliaji anaweza kua hadi ndani ya mawazo ya watu, kuwepo two places at the same time??
Mcheki msimuliaji yoga akupe hints.Story yenyewe kwani Ina zungumzia Nini mkuu?