Huenda huu ukawa uzi Bora zaidi kuwai kuandikwa JF

Huenda huu ukawa uzi Bora zaidi kuwai kuandikwa JF

Kuna nyuzi za komredi Lucas Mwashambwa nazo huwa za moto sana hasa ule uzi wake wa kuliandikia bunge la Ulaya barua.
Yule bwana sifa za kulipwa haja Anza leo aliwai msifia mzee baba ake

Mzee alisifiwa mpaka akalewa sifa za mwashambwa aka mkabidhi mashamba yote ya kahawa Kama mlithi japo ni mtoto wa mwisho

Nakwambia palichafuka kaka zake walipo skia habari hizo😄😄😄
 
Back
Top Bottom