Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Exactly 💯Pitia nyuzi za MALCOM LUMUMBA
Na ufanye tathmini upya
Ok acha nijaribu mkuuPitia nyuzi za MALCOM LUMUMBA
Na ufanye tathmini upya
SurePitia nyuzi za MALCOM LUMUMBA
Na ufanye tathmini upya
Heshima yako ya kesho Ina jengwa na leo yako mkuuKuna uzi wa punyeto acha aisee
Umewahi kusoma Nyuzi za Barafu?Habari wakuu? Kama mjuavyo jukwaa letu si la videos Sana Bali maandishi Sana au kusoma Sana nahicho ndicho kilicho nivutia Sana hapa jf
Sasa Basi katika pita pita zangu hapa ndani nilikutana na kitu kinaitwa DARK DAYS 17/03/20...
Aisee kitu kime tulia Sana na naona huenda ukawa ndiyo Uzi Bora zaidi kuwai kuandikwa jf Uzi ambao ukiusoma utaelewa mengi kuhusu siasa zetu na inchi yetu kwa ujumla
Sjui member gani aliandika ile kitu ila anastahili pongezi kwa kazi kubwa aliyo ifanya🙏🙏🙏
Mkuu, mimi naungana moja kwa moja na Carasco Putin.Heshima yako ya kesho Ina jengwa na leo yako mkuu
Kuna Uhuru wa kufikiria lakini hakuna Uhuru wa kukiandika kila unacho kufikiria be good
Kuna Uhuru wa kufikiria lakini hakuna Uhuru wa kukiandika kukisema kila unacho kufikiriaKuna uzi wa punyeto acha aisee
Una watoto wangapi?
Wawili tu, na nisingekuwa mtaalamu wa nyeto ningeijaza Dunia.Una watoto wangapi?
B anga nime msoma Sana Yuko vizuri Sana ila story zake sjawai zimaliza sio kwamba hazini vutii hapanaUmewahi kusoma Nyuzi za Barafu?
Mwandishi na Mtaalam wa maswala ya Anga na usafirishaji wa Anga?
Umewahi soma Nyuzi za Malcom Lumumba?
Umewahi soma Nyuzi za Habib B. Anga?
Rudia upya achana na hizo fiction za kutunga