Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Mbona hatubishani kijana.Me Nisha isoma ila nilitaka nijue umeielewa vipi ili tisibishane sana
Ile sio riwaya mkuu ile nikitu kilicho tokea na kinaishi hata hivyo sio lazima uyaamini mawazo yangu au niamini mtazamo wakoMbona hatubishani kijana.
Ule uzi nimeanza nao toka mwanzo, na sio mara ya kwanza kukutana na story za vile.
Hata mimi first time nakutana na story za namna ile nilikua too excited, nikimuona mwandishi ni genius, mtu makini, anajua mambo kila kitu kwa angle hiyo, ni mbobezi wa field hiyo, ni jasusi na majina mengi ya kumsifu.
Na hapo ni almost 10 yrs back.
So mpaka leo nishakutana na story na vitabu kama asimuliavyo huyo dada.
Mkuu huwa unasoma riwaya??
Ile ni riwaya kijana, mtu mmoja hawezi kua sehemu mbili kwa wakati mmoja, hawezi jua mawazo ya mtu.Ile sio riwaya mkuu ile nikitu kilicho tokea na kinaishi hata hivyo sio lazima uyaamini mawazo yangu au niamini mtazamo wako
Una weza ukaamini unacho amini Nani nikaishi katika kile nnacho kiamini
Nikutakie Hasubuhi njema ndugu yangu
Mkuu sio lazima uamini ninacho kiamini Wala sio lazima niamini unacho kiaminiIle ni riwaya kijana, mtu mmoja hawezi kua sehemu mbili kwa wakati mmoja, hawezi jua mawazo ya mtu.
Kuna mambo ni ya kweli ila mengi anaongeza nyama kulingana na aina ya hadhira yake.
Ni sawa na zile movie unaambiwa "based on true story" ila sio kua kila kitu kwenye movie kilitokea kweli ila director ana twist kidogo mambo mengine ili kuendana na hadhira.
Kuna vipande huyo msimuliaji wako anaandika ati fulani akamuita fulani chemba wakiwa wawili tu akaanza kumpa maagizo haya na yale, walikua wawili yeye hayo maagizo, tone za mtoa/mpokea maagizo kazionaje??
Nakwambia ukweli unakaza fuvu unaleta ishu za imani kwenye uhalisia.Mkuu sio lazima uamini ninacho kiamini Wala sio lazima niamini unacho kiamini
Hakuna kweli hapo hizo ni fikra zako mkuuNakwambia ukweli unakaza fuvu unaleta ishu za imani kwenye uhalisia.
Mzee sipingani nawewe hapanaNakwa mbia ukweli unakaza fuvu unaleta ishu za imani kwenye uhalisia.
Una uelewa au ujuzi wowote wa protokali za serikali katika mambo kama hayo, mambo inatakiwa yawaje linapotokea janga kama hilo??Mzee sipingani nawewe hapana
tunapo pishana nipale unapo niaminisha kwamba ile habari ni ya uongo wakati huo huo Kuna matukio ya ukweli ambayo yame tokea
Kwamfano.
1)Nikweli mzee alikufa ghafra na baada ya kifo chake doctor aliye kuwa ana mtibu aliwekewa Kama sio kuongezewa ulinzi je unadhani kwanini alipewa ulinzi?
2)Nikweli kwamba kifo au taarifa ya msiba wa mzee ili tangazwa usiku una dhani ilikuwa kwa bahati mbaya ?
Kuhusu kupunguza au kuongeza hizo nisifa za kifasihi tu
Tunacho angalia ni je kinacho zungumziwa kili tokea au hakiku tokea?
Wewe umeandika kua unaamini, bora uwe na fikra ila sio imani.Hakuna kweli hapo hizo ni fikra zako mkuu