Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

Umekuja kujipigia promo? Kwanini hukusema mkuu wa wilaya ndio kafanya kazi?
 
Acha ushamba,Mkuu wa Wilaya tangu lini akawa ni mtendaji?

Kama mtu anafanya vizuri kusifiwa ubaya uko wapi?

Mkurugenzi chapa Kazi ya kutekeleza Ilani ya CCM,

Uende kwenye wilaya halafu uone ng'ombe na akili yako ikwambie sifa ni kwa DeD? Acha kujitoa ufahamu.
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
mtu ana mwaka mmoja tu tangu awe ded, bado anakamilisha mipango ya waliomtangulia kisha umeshalipuka unamsifia. Ungejua hizo eartags mwanzilishi ni lowasa mwenye ranch kubwa huko usingepiga hizi kelele au labda umetumwa
 
Acheni wivu, Mbona halmashauri zingine hawana hii kitu, kwanini tusimsifie huyu Dada?
 
Punguza wivu kijana,huwezi kupanda kwa kumshusha mwenzako,
 
Naona dada amekaza, Hongera zake,
 
Tupia namba mkuu, tuweze kumpongeza mheshimiwa DED.....
 
Acheni wivu, Mbona halmashauri zingine hawana hii kitu, kwanini tusimsifie huyu Dada?
dada ndiye kaanzisha au ameikuta? Acha kulipuka mkuu.
Huo utaratibu uko hiyo wilaya miaka mingi na hiyo wilaya inauza ng'ombe sana nchini Kenya hata kabla ya huyo binti hajafika hapo.

Umekwenda mara ya kwanza tayari milipuko kibao as if hiyo wilaya imeanzishwa jana. Sema binti amejitahidi kutoharibu walichoanzisha watangulizi wenzake.

Jifunze kuwa na kiasi unaposifia mtu.
 
Punguza wivu kijana,huwezi kupanda kwa kumshusha mwenzako

Punguza wivu kijana,huwezi kupanda kwa kumshusha mwenzako,
nimemshusha nani. ikiwa huwezi kuubeba ukweli unanyamaza. binti ametauliwa mwaka jana. badala ya kumsifu kuwa amehakikisha utaratibu haujaharibika na anaendelea kuusimamia vizuri, mnaleta sifa za kijinga kuwe yeye ndiye mwanzilishi.

jifunzeni kuwa na kiasi mnaposifia
 
Nafasi za wakuu wa mikoa zimejaa kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…