Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

Kwa kumuonaga huyo binti sidhani kama ana maajabu sana naona kama umetumwa uje umuandike ili atrend sababu mnajua mama huwa anapitia mitandaoni.

Hana cha ajabu alichokifanya malinyi zaidi ya kusafiri kuja mjini kwa mzee wake mpaka akakoswa na ajali.
 
Kwa kumuonaga huyo binti sidhani kama ana maajabu sana naona kama umetumwa uje umuandike ili atrend sababu mnajua mama huwa anapitia mitandaoni.

Hana cha ajabu alichokifanya malinyi zaidi ya kusafiri kuja mjini kwa mzee wake mpaka akakoswa na ajali.
Wewe unamaajabu gani? Tuacheni wivu wa kijinga, dada anapiga kazi aise,
 
kwa hiyo hayo ma eartag ndo yanamfanya anakuwa best DED of the history...make ncheke kwanza....aisee bado tuna safari ndefu
 
Apart from la huyo DED kama kiongozi mahiri kama ulivyo sema, natamani uje na maelezo kuhusu hizo eartags kwenye ng'ombe, uhusiano wa hizo eartags kwenye ng'ombe na bei za kuuzia hasa kwenye soko la kimataifa. Tueleze hilo, ni elimu muhimu kwetu humu JF please.
 
Umekuja kujipigia promo? Kwanini hukusema mkuu wa wilaya ndio kafanya kazi?
Hapana yuko sawa kumsemea huyu DED na hata kumsifia kwani hawa ndi WATENDAJI, hao MA -DC ni political figures tu wenye kazi ya kusimamia sera na kufuatilia utekelezaji na utendaji BASI!
 
Du Basi mje na Mimi kunipongeza..Mana mbuzi zangu zote nimeziwekea hereni
 
Chadema wapuuzi sana watakuja kuuliza ana mume
 
Bro umezingua sana. Kuwekwa hereni tu kwa mang'ombe kashakuwa DED bora. Hizo ear tags ni Sera na mipango mikakati ya Wizara ya mifgo na Uvuvi. Halmashauri hawanaga hizo bajet. Kwenye hili unasimulia usichokijua.

Tangu lini Halmashauri ikawa na uwezo wa kujenga jengo la ofisi la ghorofa. ? Ww hujui unasifisifia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…