Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ndani ya hereni hizo kuna zaidi ya unachodhani, uliza gharama ya hereni moja uijue.Aise,
Unanunua milioni moja, Unauza milioni nne kisa eartags,
Basi huyu binti anastahili pongezi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya hereni hizo kuna zaidi ya unachodhani, uliza gharama ya hereni moja uijue.Aise,
Unanunua milioni moja, Unauza milioni nne kisa eartags,
Basi huyu binti anastahili pongezi,
hatari snTupa kule
Wewe roho inakuumia nini? Kama Mtu kaona mazuri ya mtu asiyaseme kisa anamapungufu?Huyu mleta mada ni mpuuzi sana. Umemuuza dada wa watu ukashindwa kumtetea na umeingia mitini.
Unaanzisha uzi wa hovyo, umesababisha hata ya sirini kuwa hadharani.
Au hukumaanisha Hereni za ng'ombe? Upuuzi huo usiwe unauleta jf huku kuna AKILI KUBWA. Peleka Facebook
Kila kitu kinafanyika hatua kwa hatua, Usiwe mshamba,Mleta mada ww ni chawa mkubwa,mm nadhani utatuambia kuwa wilaya ya Malinyi sasa hivi kumewekwa barabara ya lami na uchumi wa watu wa Malinyi ni mkubwa kwa kujenga nyumba za kisasa,ww unaleta porojo za ng'ombe kuvaa heleni.!!?
Je ng'ombe akivalishwa shanga utamuuza kiasi gani huko nje?
Sisi wana Malinyi tunalia na ukosefu wa barabara ya lami,maji safi tumechoka kutumia maji ya visima (midundiko) na vituo vya afya viongezwe na viwe na dawa na wataalamu.
Kwahiyonunafahamu kuwa ng'ombe akivalishwa hereni being inapanda...!!?Nimezungumzia ninachokifahamu,
SawaHawa ndio ng'ombe wa Malinyi ya Joanfaith, View attachment 2232611
Yes, traceabilityHuko duniani watu hawanunui nyama bila historical back ground ya mifugo yenu,
Mimi nashawishika it might be true
Mkuu jicho lako limemuona dedi , moyo ume... hayaMimi nimesema nilichokiona Malinyi kwenye biashara zangu za ng'ombe,
Vyote viwili vinashabihiana; DED amesimamia vizuri utekelezaji wa ng'ombe kuvishwa heleni ambazo husababisha ng'ombe kupata bei nzuri kwenye soko la kimataifa!Kwahiyo hapa hoja tunayoijadili ni uchapakazi wa DED au ubora na umuhimu hereni za ng'ombe kwenye soko la kimataifa?
MatagaUende kwenye wilaya halafu uone ng'ombe na akili yako ikwambie sifa ni kwa DeD? Acha kujitoa ufahamu.
Sasa jiulize kati ya ng'ombe kuvishwa hereni na kujenga barabara ya lami kipi kianze? Hujui barabara ikiwa nzuri hata gharama ya kusafirisha ng'ombe wako itapungua?Kila kitu kinafanyika hatua kwa hatua, Usiwe mshamba,
Kila kimoja ni muhimu, acheni wivu kabisa,Sasa jiulize kati ya ng'ombe kuvishwa hereni na kujenga barabara ya lami kipi kianze? Hujui barabara ikiwa nzuri hata gharama ya kusafirisha ng'ombe wako itapungua?
Hitaji la barabara ya lami ni hitaji la kwanza kwa wana Malinyi.
Acha ujuaji kenge maji wewe.!
Huelewi unachokisema wivu wa kitu gani kwa huyo DED?Kila kimoja ni muhimu, acheni wivu kabisa,