Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

Mtu unapataje nafasi ya kusema huyu bora kati ya watu 300+ na ambao wengi wao hata hujawahi kuwaona. Kisa unatamani akupe utelezi au ni nini hasa??
DED hutofautiana kutokana na Eneo husika sehemu zingine hazina mifugo kama huko utataka usemaje??
 
hakuna uhusiano wowote huyo jamaa ni mpuuzi fulani hivi
 
Kwa hoja zako ni dhahiri hujawahi kufanya biashara ya kuuza ng'ombe nje ya nchi....sekta ya mifugo nchini inahitaji mageuzi makubwa na sio eartag ili kufikia walipo wenzetu kama Botswana.
wapuuzi sana hawa wana ccm ulaya wana mashine maalumu za kupima ubora wa nyama sasa sijui hiyo eartag itasaidia vipi kuboresha mifugo inayosagwa porini kienyeji.
Hiyo eartag navyofahamu inawekwa ili kutambua mfugo ni wa eneo gani tu ili kuzibiti kuhamahama kwa wafugaji
 
Siyo mashindano mkuu ndio utaratibu wa serikali huo! Kila ng'ombe wa nchi hii kazina awekewe hereni vinginevyo hataruhusiwa kukanyaga masoko ya Tanzania!
acha uongo basi mkuu pale kibaha kuna machinjio ng'ombe wanaletwa kuchinjwa hawana hayo ma eartag na jamaa nyama Zao wanapeleka uarabuni( halal) na nyingine ulaya
 
acha uongo basi mkuu pale kibaha kuna machinjio ng'ombe wanaletwa kuchinjwa hawana hayo ma eartag na jamaa nyama Zao wanapeleka uarabuni( halal) na nyingine ulaya
Sasa uongo wangu uko wapi hapo? Tatizo vijana wa Kitanzania huwa hamtaki kusoma mkaelewa. Unafikri kazi ya kuweka ear tag ni ya siku moja? Hili ni zoezi endelevu. Regulations za sheria ya "animal identification and tressability" ndivyo inavyotaka. Kwamba ng'ombe asiyekuwa na ear tag asikanyage sokoni. Muda ukifika amri itaanza kutekelezwa!!
 
Hii umeitoa wapi?
 
Itakuwa nzuri sana,
 
Nchi ngumu kwelikweli hii
 
Safi sana Joanfaith
 
Vp ameolewa huyu.
 
unajipigia tebe kwenye mkeka ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…