Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

Jembe la Mama hili, 😍😍
 
Naona huyu ndio kachukua zabuni ya kuvisha ng'ombe hereni, au anakula dili na S & J Animal tech.
Kati ya kazi inayopasua kichwa wakurugenzi na hiki kitu nacho, maana wanalazimika kutumia mapato ya ndani bila kujua faida itakuaje kwenye swala hili.
 
Duuh, S&J Animal Tech ndio nini?
 
Moja ya Wilaya za morogoro ambazo zinalima sana lakini hakuna barabara kabisa, kiufupi huko ni tanganyika.
Vipimo vyetu vya viongozi bora kama ni hivi basi tumetanua goli hata chizi anaweza kuwa kiongozi bora.
 
Hoja ni yeye kafanya kwa kiasi gani
 
Aise,
Unanunua milioni moja, Unauza milioni nne kisa eartags,
Basi huyu binti anastahili pongezi,
Inaharibu uzi mkuu, yaani unauliza kitu kilichoandikwa daaa, chawa mna tabu sana.

Zile mada zako za kusifia zimeisha au ndiyo aliyekuwa anawapa article yupo busy dodoma, ahahahaaaa...!
 
CV yake please
 
Kazi iendelee kufanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…