Huenda katibu mkuu wa TEC asirejee tena kwenye wadhifa wake

Kwhy kuna mafundisho ya mama kanisa tena...?mbn mnatupeleka peleka tuu...kwani ule waraka wa Papa Francis ulisema je?
 
Kwhy kuna mafundisho ya mama kanisa tena...?mbn mnatupeleka peleka tuu...kwani ule waraka wa Papa Francis ulisema je?
Kama mnataka kuwa mnahutubu kwenye Mimbari za Kanisa Katoliki, jiungeni kwenye urika wa Wenye daraja.
Wanasiasa mna majukwaa yenu mengi tuu. Je, hayawatoshi kufikisha ujumbe wenu kwa watu mnaowaongoza?
 
RC siyo CCM kwamba kuna wenye hati miliki ya vyeo. Kitima siyo wa kwanza au anatokea ukoo wa viongozi kama huko CCM.
Kila baada ya muda anapatikana Katibu wa TEC mpya. Kitima atamaliza muda wake anakuja mwingine, kama unafikiri ajae atakuwa CCM pole.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

yani wewe ndio unalitisha taasisi/kanisa la Roman Catholic kuliambia shauri yao?
Ninyi vijana mna college politics za kuamini eti Kanisa linaweza kuitisha Serikali? Huo ujinga pelekeni vyuoni na sio huku kwenye reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…