Huenda katibu mkuu wa TEC asirejee tena kwenye wadhifa wake

Si ajabu TEC nayo kuwa na chawa pro max, chawa wa kutosha wapo kila kikundi cha kijamii. Haitashangaza chawa kutamalaki katika taasisi hiyo ya kanisa katoliki!
 
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.

Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.

Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo

Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.

Una maoni gani ndugu mdau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
We mpagani hujui chochote, tuachie wenyewe mambo yetu wakatoliki
 
Kukemea mambo ya kishenzi ni kazi ya kanisa wakati wote ni kukemea maovu, hamna Askofu wala padre kwenye kanisa Katoliki atakayekasrila bkwa ajili bya Kitima kukemea maovu na mambo hovyoo!!

Hivi kumwambia MFALME "Yuko UCHI na PUMBU ZINAONEKANA" ni kosa??🤣🤣🤣😅😅
 
Nyie hangaikeni Na Mwamposa, huku parokiani au kwenye vigango mje na mkae kwa kutulia, hapa tuna fundisha neno la Mungu na Siyo kusifia Michawa, watekaji mafisadi na wadhulumati wa HAKI. Period
 
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.

Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.

Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo

Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.

Una maoni gani ndugu mdau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hawa TEC niliwatahadharisha mapema kuhusu huyo padre. Shauri yao!
 
TEC ni vatikan ni serikali inayojitegemea na serikali tajiri kuliko serikali zote duniani

Serikali yenye wasomi wengi zaidi kuliko zote duniani!!

Katibu mkuu hata akiondoka akaja Steve Nyerere hawezi kubadili msimamo wa kanisa

Amani ni tuna la haki

No reform no Election!!
Ukatibu wa TEC wa Fr Kitima ulikuwa biased kwa kuwa ulikalia upande mmoja. Yeye alikuwa ni wakala wa Binamu yake Tundu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA.

Uliona wapi Kanisa Katoliki linaiingilia na kukomaa kwenye issues za utendaji za Serikali? Yaani Fr Kitima badala ya kuhubiri na kutafsiri ufunuo wa Yohana akaishia kubishana mambo ya Bandari!!!???
 
Ukatibu wa TEC wa Fr Kitima ukikuwa biased kwa kuwa ulikalia upande mmoja. Yeye alikuwa ni wakala wa Binamu yake Tundu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA.

Uliona wapi Kanisa Katoliki linaiingilia na kukomaa kwenye issues za utendaji za Serikali? Yaani Fr Kitima badala ya kuhubiri na kutafsiri ufunuo wa Yohana akaishia kubishana mambo ya Bandari!!!???
Kwani anakatazwa kuzungumzia Bandari? Kuuza Rasilimali za nchi na kuwaacha wananchi wakiwa masikini ni dhambi, lazima ikemewe.
 
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.

Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.

Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo

Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.

Una maoni gani ndugu mdau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Acha ujinga wewe huyu akinyamaza ni maaskofu wanaingia kazini! Mmewasikia akina wolfgang pisa rais wa TEC!
 
Kwani anakatazwa kuzungumzia Bandari? Kuuza Rasilimali za nchi na kuwaacha wananchi wakiwa masikini ni dhambi, lazima ikemewe.
Bandari ndiyo Injili ya nani? Haya leo Bandari iko chini ya DP WORLD na huu ni mwaka wa pili.

Mlete Fr Kitima atuambie mapungufu ki muda wa kutoa mzigo, mapato ya Serikali na ajira kwa wazawa!!
 
Huo mkataba ni wa muda gani?
 
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.

Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.

Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo

Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.

Una maoni gani ndugu mdau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Huyo MSHANGAZI CHURA KIZIWI anasomba kwenye mikokoteni waumini Wakatoliki kule kwa Wasukuma halafu baada ya kuwachinjia ng'ombe na kondoo misikitini anakwenda na VXR na V8 kuhutubia Kanisani #NoreformsNoelection
FB_IMG_1750398104281.jpg
 
Tungekuwa mbali sana kama hii nchi ingeongozwa na kanisa
Ukiangalia miradi ya kanisa kama vyuo, mahospitali na mabenki ni mikubwa, Na haitegemei pesa kutoka nje wala mikopo.

..wala pesa za Escrow hatuzitaki.
 
Sasa kitu gani cha ajabu?

Mbona vikao vya ccm vinafanyika ikulu?

Au ikulu ni office za ccm?
Hapa tu naongelea vikao vya Chadema kufanyikia ofisi za Katibu wa Baraza la Maaskofu
 
Mkuu mbona unahangaika sana leo. Naona hufahamu taratibu za hilo kanisa. Ukiona,waraka umetoka ujue ni makubaliano ya maaskofu wote.

Mkuu mbona unahangaika sana leo. Naona huelewi utaratibu wa kanisa Katoliki. Ukiona waraka umetoka na kusainiwa basi ujue ni makubaliano ya maaskofu wote. Huyo katibu wa TEC wala hawaamulii na kuwalazimisha hao maaskofu. Relax, utaanzisha nyuzi weee, mpaka sukari na pressure vikupande bure kisa,TEC
🤣 🤣 🤣 🔊
 
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.

Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.

Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo

Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.

Una maoni gani ndugu mdau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Na wewe ni Kaasi au ni fisi anaebwelea porini mkono wa binadamu akifikiri ni kitoweo
 
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.

Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.

Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo

Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.

Una maoni gani ndugu mdau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Na mnavyomgwaya Fr. Dr Kitima!! Bado yupo sana na huyo ndiye chaguo la BARAZA LA MAASKOFU. Mfanyieni figisi naye kama mlivyofanya kwa Fr. Raymomd Saba (RIP).
 
Hapa tu naongelea vikao vya Chadema kufanyikia ofisi za Katibu wa Baraza la Maaskofu

Shida ni nini?
Mbona vikao vya ccm vinafanyika kwenye office ya Rais wa inchi?
 
Back
Top Bottom