Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Hivi wewe huwa ni madam au sir?.
Ni UVCCM tupu/vilazaYou're right. Kuna vichwa huko. What about our Lutheran brothers!
Unataka kuoa au kuolewa!Hivi wewe huwa ni madam au sir?.
Kaka si tuliambiwa na Mwenyekiti tusichanganye dini na siasaNi baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hata kama ungekuwa ni wa mwezi mmoja, wewe angalia deliverables and efficiencies.Huo mkataba ni wa muda gani?
Ila kuwa chini ya Serikali ya wapigaji ndo tija? Mkataba wa maisha? Mpaka misitu? Mpaka Uwanja wa ndege? Kwenye madini ndo usiseme. Trilioni 107, Mwigulu anakopa, pesa hazipiti hazina, zikija zinaingia kwenye matumizi moja kwa moja, akiulizwa hana majibu, anaishia kutuambia tu Deni ni Himilivu.Hata kama ungekuwa ni wa mwezi mmoja, wewe angalia deliverables and efficiencies.
Sasa hivi na Mwendokasi iliyofeli inakabidhiwa kwa kampuni kutoka UAE. Lengo ni kuleta tija. Kuwa chini ya Watanzania wavivu na wezi siyo sifa
Ni wachungaji wangapi au mapadri wangapi walipokea hiyo hela..wala pesa za Escrow hatuzitaki.
Kama muumini wa Kanisa Catholic nasema hakuna kitu kama hicho.Kanisa Catholic ni Taasisi kubwa na imara haifanyi kazi kwa mashinikizo au mihemko.Kwa hiyo Fr.Kitima ataondoka baada ya kumaliza muda wake kwa kuwa ili kumuondoa unahitaji maamuzi ya mkutano wa maaskofu wote.Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Tumsaidie kuwa maamuzi hayo yanatoka idara ya Liturujia na kupelekwa kwa maaskofu ili kuridhia hivyo hilo sio pendekezo la katibu ni la idara muhimu sana ya kanisa na ipo chini ya uongozi wa askofu.Mkuu mbona unahangaika sana leo. Naona hufahamu taratibu za hilo kanisa. Ukiona,waraka umetoka ujue ni makubaliano ya maaskofu wote.
Mkuu mbona unahangaika sana leo. Naona huelewi utaratibu wa kanisa Katoliki. Ukiona waraka umetoka na kusainiwa basi ujue ni makubaliano ya maaskofu wote. Huyo katibu wa TEC wala hawaamulii na kuwalazimisha hao maaskofu. Relax, utaanzisha nyuzi weee, mpaka sukari na pressure vikupande bure kisa,TEC
Acha kuweweseka hovyo. Na kama umetumwa, waambie wakubwa wako TEC ni maji ya kina kirefu. Na kama ni kiherehere chako tu, basi ni vizuri ukatuliza mshono.Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe hata hujui mkataba wa awali wa DP world uliachwa na badala eneo la ushirikiano lilipunguzwa baada ya kelele leo DP world hawawezi kutupa masharti ya kuwa na exclusive right ya bandari zetu.Kelele zililete ushindi.Bandari ndiyo Injili ya nani? Haya leo Bandari iko chini ya DP WORLD na huu ni mwaka wa pili.
Mlete Fr Kitima atuambie mapungufu ki muda wa kutoa mzigo, mapato ya Serikali na ajira kwa wazawa!!
Kuna vitu mnavyowaza mnatamani kweli viwe kweli, wishful thinking...Kitima yupo palepale na ataongeza dozi kwa mashetani wote. Unafikiri TEC imeundwa na watu kama akina shehe ubwabwa?Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe kama nani yaani!?Hawa TEC niliwatahadharisha mapema kuhusu huyo padre. Shauri yao!
Wanachojua sana ni kujipendekeza.Ni UVCCM tupu/vilaza
Wangekuwa hawashikiwi akili wasingekuwa wanafanya hivi tangu awali (kuwakumbatia wanasiasa na kuwapa airtime kanisani, baada ya wanasiasa kuwang'ata ndio wanakuka na makatazo). Hapo wameonesha weakness ya hali ya juu kwa hilo kanisa.Katoliki hawashikiwa akili kama wale ndugu zenu, hakuna askofu anaye shikiwa akili,
ZEZETA. Iko hivi ukienda kanisani sali ukimaliza pangusa matako Rudi kwako. Si mmeamua kuuwa watumishi mmemkosa kumuuwa Leo mnabinua midomo haondolewe akili zenu Kama kinyesiKamati Kuu ya Chadema ilikuwa inafanyia vikao ofisini kwake. Ndiye alikuwa anasuluhisha Mbowe na Lissu huku akimzuia Mbowe asigombee.
Kwa kuwa yeye na Lissu ni wanyaturu, kajiapiza kwamba wanyaturu lazima waingie ikulu. Mikakati yake ya kulifanya kanisa liwe tawi la chadema inakwamishwa na baadhi ya maaskofu ambao wanafuata misingi ya kikatoliki. Hawataki mambo ya hovyo hovyo.