Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Kwani misitu wewe ulikuwa unafanyia nini? Kuna mahali umetaka msitu umenyimwa? Mbona Tanzania yetu ina misitu nini sana? Kwanini tusifaidike na biashara ya carbon ambayo ni fedha ziko huko duniani kwa watu ambao wanechafua mazingira?Ila kuwa chini ya Serikali ya wapigaji ndo tija? Mkataba wa maisha? Mpaka misitu? Mpaka Uwanja wa ndege? Kwenye madini ndo usiseme. Trilioni 107, Mwigulu anakopa, pesa hazipiti hazina, zikija zinaingia kwenye matumizi moja kwa moja, akiulizwa hana majibu, anaishia kutuambia tu Deni ni Himilivu.
View attachment 3379011